bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Washenzi hawa huwa wanakumbuka nyama na mikate ya misri..!Hahaha mkuu,kurudi utumwni Misri!
Washenzi hawa huwa wanakumbuka nyama na mikate ya misri..!Hahaha mkuu,kurudi utumwni Misri!
Asante Mkuu. Hahaa nimecheka hapo mwisho eti huwa mnapata kigugumizi...hamna bwana ni basi tu baadhi ya wanaume wanakuwa hawajielewi wengine walizalishana wakiwa kwenye balehe baadae wakagundua they were not meant to be together. Wewe kama umemuelewa mtu jitose tu huyo mwingine anawza kuwa alikuwa punguani tuUna akili sana..! Ukisha likoroga utulie pale kujifanya superstar unamdindia mtu ambaye ameisha kuzalisha ni upumbavu bora uwekeze kutafuta solution za ugomvi wenu mwanao atapona mengi.
Afu mjue huwa tunapata kigugumizi kujua nini kilitokea jamaa akakuacha na mtoto wake asitake kukuoa??
Asilimia kubwa wanawake wapo tayari kulea watoto upande wa mwanaume, ila wanaume hawapo tayari kulea watoto wasio wao.....Kama Nanyie Wanawake Ambao Hamjazaa HamMko Tayari Kuishi Na Wanaume Wenye Watoto Basi Nasiye Wanaume Tunakuwa Hvyo Hvyo
Na nyinyi wanaume muangalie ni hali gani unayompa mwenzako unapomwambia achague ndoa au mtoto wake, nani asiyetaka kuolewa?
Mmmh huoni kama unamnyima mtoto haki yake ya kulelewa na kutunzwa na baba yake? Kwa nini umtenganishe na baba yake wakati baba yake hajamkataa? Na sidhani kama kuna mwanaume atakayekukubalia hilo. Imagine mwanaume ndo amchukue mtoto wenu afu akwambie kwa sababu anaoa basi wewe hutohusika na chochote kwa mtoto, mtoto atakutafuta akikua. That's too selfish
Wanaume wengi wanaogopa kujihusisha na single mothers kwasababu ya history of the baby father. Hii kitu leo tujaribu kuiweka wazi.Mkuu mtoto ni bora zaidi ya ndoa. Mwanaume anayemkataa mtoto wako ataweza kweli hata kuwanunulia wakwe zake sukari? Huyo hafai kabisa.
Mwanaume smart anatake trouble ya matokeo ya matendo yake..!Mkuu hatushindani as vulnerable creatures unaambiwa tu kuwa mimba hii ilikuwa bahati mbaya na mimi bado ninawategemea wazazi ambao wanataka nikasome. Sisi ndiyo tunabeba mtoto inabidi tupokee matokeo.
Asilimia kubwa wanawake wapo tayari kulea watoto upande wa mwanaume, ila wanaume hawapo tayari kulea watoto wasio wao.....Kama Nanyie Wanawake Ambao Hamjazaa HamMko Tayari Kuishi Na Wanaume Wenye Watoto Basi Nasiye Wanaume Tunakuwa Hvyo Hvyo
Mkuu Unajua Kwanini Tunawaambia Wapeleke Watoto Kwa Bibi Zao Kwasababu Ukikaa Naye Mtoto Ataendelea Kuwasiliana Na Baba Wa Mtoto Wake Hicho Kitu Wanaume HatupendiAsilimia kubwa wanawake wapo tayari kulea watoto upande wa mwanaume, ila wanaume hawapo tayari kulea watoto wasio wao.....
Wengi wenu masingo maza ni vilaza..! Kukosa kuwa constructive wanaishia kutupiliwa mbali na kidume anasonga mbele...!Asante Mkuu. Hahaa nimecheka hapo mwisho eti huwa mnapata kigugumizi...hamna bwana ni basi tu baadhi ya wanaume wanakuwa hawajielewi wengine walizalishana wakiwa kwenye balehe baadae wakagundua they were not meant to be together. Wewe kama umemuelewa mtu jitose tu huyo mwingine anawza kuwa alikuwa punguani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume smart anatake trouble ya matokeo ya matendo yake..!
Shida kubwa ya wadada you had not constructive idea inakuwa imetokea suala kama kupata mimba, huwa mnakimbilia kuwalaumu wapenzi wenu badala ya kumtia moyo na kutoa mawazo ya kumlea mtoto ata km mazingira magumu.
Pia mjue wengi wenu ni wavivu sana mtu anafikiria lawama na kuhudumia mtu mvivu sometime unahudumiwa afu mnaanza ushenzi kuchepuka ovyo mtu anakushiti experience nyingi ni za hivi..
Kwani kukulia kijijini kuna ubaya gani jamani. Mbona tupo tuliokulia kijijini na tuna akili timamu...tena kama mwanaume huyo ndo atakuwa mwanaume wa shoka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea mkuu... kuna wanawake hawajui kuacha kuna mwengine akiacha ameacha, single moms wanaorudi kwa baba watoto wao baada ya kuachana ni kwa sababu wanaogopa kulea watoto peke yao hivyo wako tayari hata kuwa kwenye relationship wasioifurahia basi tu aonekane na yeye anaishi na baba wa mtoto, pili kukata tamaa. Wanahisi ukishakua single mom maisha yako yameishia hapo bora urudi kwa baba mtoto mkasongeshe hata kama akiwa na mtu mwingine anakua hamuamini anaona bora shetani anaemjua kuliko malaika mgeni. Mwanamke imara tu ndo anaweza kujitoa kwenye mikono ya mwanaume waliezaa nae zikabaki story za malezi tu na sio kukumbushia yaliyopita.Washenzi hawa huwa wanakumbuka nyama na mikate ya misri..!
So if between you two who created a child none of you is ready to leave with that child can't you see that there is a problem there?Mkuu Unajua Kwanini Tunawaambia Wapeleke Watoto Kwa Bibi Zao Kwasababu Ukikaa Naye Mtoto Ataendelea Kuwasiliana Na Baba Wa Mtoto Wake Hicho Kitu Wanaume Hatupendi
Sitafanya ujinga huo kukataa wanangu kisa...ndoa...!!!
My own brand!!

Asante sana mkuu, tuliangalie hili kwa mapana na marefu, huyu mtoto mlimleta duniani mkiwa wawili, wote hamna simamo wa maisha. Unamamwambia mwenzako habari za ujauzito anakwambia hayuko tayari. Sawa, sasa wewe uko kwa wazazi, umejifungua salama, mtoto mwenye afya njema. Baba anakuja siku akipata, kwasababu hana stable income, fine. Amekwisha kwambia kuwa wewe na yeye hamna future, umepata mchumba huoni kwamba uhusiano wenu hapa kati kati utaleta mtafaruku kwenye uchumba wako?
Wanaume wengi wanaogopa kujihusisha na single mothers kwasababu ya history of the baby father. Hii kitu leo tujaribu kuiweka wazi.
Unaachaje mwanao sababu ya dudu,mwanaume akikupenda kweli hata uwe na watoto sita atakaa nao na kuishi nao kama wakwake.
Sent using Jamii Forums mobile app

Eti Mtoto Aende Kwa Bibi Hapo Ndo Nikaona Sina Mwanamke KabisaaMwanamke anaekataa kukaa na mwanao hakufai mkuu kimbia...
Hapo unakuwa unawakosea...usingo maza unahusiana vipi na ukilaza wa mtu...vilaza wapo tu awe bikra, single mother au ameolewa kote vilaza wapo. Na wanaokumbuka misri ni wanawake tu? Mbona ninyi mnakuwa mmeoa ila bado na ma- baby mama wenu hamuachi kupasha kiporoWengi wenu masingo maza ni vilaza..! Kukosa kuwa constructive wanaishia kutupiliwa mbali na kidume anasonga mbele...!
Tabia yenu ya kukumbuka misri inakera mno, afu pia ujue ndoa siyo majaribio eti POTEA NJIA UTAULIZA ILA SIYO KUOA.