Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mi naangalia akili tu hayo mengine sitaki hata kuyasikia!
Kwa sababu mimi sikujui kwa vyovyote nitahakikisha vp kwamba wewe ni mtu wa kawaida usiye na hila? Maana naweza kujikuta mikononi mwa muuza unga anayetafuta kontena ya kisafirishia mizigo yake, jambazi au mwenye mambo mengine ya giza