Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #321
Oooh leo ameamkia kushoto au kulia? Asipokuepo OLESAIDIMU kumpa kale kajani huwa ana mapwenti sana
Ndio ka nini hako paroko?
Oooh leo ameamkia kushoto au kulia? Asipokuepo OLESAIDIMU kumpa kale kajani huwa ana mapwenti sana
Hivi unajua mtu akiikosa ndizi mbivu huiita mbichi?
Hivi Karucee amepita hapa baba?
Tayari ameshaweka baraka zake paroko!
Oooh leo ameamkia kushoto au kulia? Asipokuepo OLESAIDIMU kumpa kale kajani huwa ana mapwenti sana
Lingine?
Kuna mtu ananitafuta.
Narudia tena kuna mtu ananitafuta.
Hapana siwezi kudanganyaMimi napenda sana kuambiwa uongo na nshis ndo nauamin
Je utakuwa unanimbia uongo
Usijali niko tayariUna deni mbili up to now kuonana + mambo ambayo utanifanyia ambapo umesema utafanya kwa matendo
OK paroko
Safi sana
Sasa tutaonana wapi mrembo?
Sasa si imekuvutia jamani?