Hilo ni suala la kupanga wala halina tatizo1. Utaenda lini nyumbani kwetu kujitambulishaaa
Tukishakubaliana kuanzisha mahusiano2. Lini tukapime HIV?
????????3. (....)
Kwani kupata si suala la muda tu?3. we sio type yangu!!!! (yaani tangu unaanza shule primary....sec...chuo...mtaani kwenu...ofisini) hujapata hadi leo?
Haaaaa kumbe nawe hupajui...nilikua na appointment na mgiriki mtaa wa siasa..... basi ngoja nibaki tu hapa hapa...nshaghairi...Ndio li nini hilo?
Bado umelala tu?
Kweli wanawake wanafanana tabia.
Maswali yote yalioulizwa hapa ni yale tunaita FREQUENTLY ASKED QUESTIONS FROM LADIES
Kwa nn mimi,what special about me,umenijuaje,je unanipenda au umenitamani,ntakuamin vp,unaniaminije,unajuaje km sina mtu wangu(sijaolewa),nn kimekuvutia kwangu,ina maana hapo ulipo huna mpenz,nk
ukimtongoza mwanamke asikuulize hayo maswali labda unamtongoza changu au mwanaume mwenzako.
Baada ya mambo kwenda sawa!
Najua hunifahamu maana hujawahi kuniona. Utakuwa tayari kunikubali vyovyote nilivyo? Kila mwanaume ana vigezo anavyoviangalia kwa mwanamke hadi aweze kumfanya kuwa mwandani wake. Una uhakika wewe unaangalia akili tu? Huangalii shepu,rangi,sura wala kimo?
Kweli wanawake wanafanana tabia.
Maswali yote yalioulizwa hapa ni yale tunaita FREQUENTLY ASKED QUESTIONS FROM LADIES
Kwa nn mimi,what special about me,umenijuaje,je unanipenda au umenitamani,ntakuamin vp,unaniaminije,unajuaje km sina mtu wangu(sijaolewa),nn kimekuvutia kwangu,ina maana hapo ulipo huna mpenz,nk
ukimtongoza mwanamke asikuulize hayo maswali labda unamtongoza changu au mwanaume mwenzako.
mi ningekuuliza "how much do you have in your account..."Baki hapa hapa na unipe majibu leo leo ...lol!!!!!
Mkuu hapa ndipo umuhimu wa hii mada unapokuja
Endelea kupata ilmu mkuu ....lol!!!!!!!!!!!