To MMU ladies ....

To MMU ladies ....

Eiyer kama vipi fanya kweli .. utapata maswali yako huko.

halafu usije na mtongozo wa utani, siku hakuna matani.

sawaaa!
 
Last edited by a moderator:
Nakuona kama unaefaa kuwa mke mwema

2nd question please!

1. Utaenda lini nyumbani kwetu kujitambulishaaa
2. Lini tukapime HIV?
3. (....)
3. we sio type yangu!!!! (yaani tangu unaanza shule primary....sec...chuo...mtaani kwenu...ofisini) hujapata hadi leo?
 
Back
Top Bottom