TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Liko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe Raisi wa TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLS
Haiwezekani kwa uelewa wa watu wachache kama ww ila kwa wengine inaeleweka sehemu mtu anapoongea kama yy na sehemu anapoongea kwa niamba ya kundi lake
 
Ila rais wa nchi akitoa mawazo yake binafsi huwa mnayachukulia kama ya rais wa nchi na ya chama tawala.
HATUDANGANYIKI, HILO NI TAMKO LA TLS TENA LIMETOLEWA NA RAIS WAKE KUTILIA UZITO.
Angalia na mazingira wazo linapotolewa raisi wa nchi hutamka mambo yake mengi akiwa kwenye shughuli rasmi ya kiofisi na tena jukwaani akiwa anahutubia nchi tofauti na huyo katumia akaunti yake tena kwenye mitandao ya kijamii
 
Very sad huyu shangazi tulimtegemea tumnadi nafasi ya makamu WA rais 2020 very sad naishiwa maneno.I wish I were dreaming.
 
Bora wamekana mapema maana binafsi nilianza pata wasiwasi kuwa ndio msimamo wa taasisi
 
FATMA KARUME NI SHUJAA!

KAZUNGUMZA JAMBO AMBALO WANAFIKI WENGI WANALIKWEPA NA KULIKIMBIA LAKINI KUMBE NI WASHIRIKA WAZURI WA UFIRAUNI.

WATU WAWILI WENYE AKILI ZAO WAKIAMUA KUTIFUANA VYUMBANI HUKO INAKUUMA NINI!?
Yani MTU anajitokeza hadharani kukiri ushenzi afu wewe umsifu kuwa eti ni shujaa...!

Kweli dunia ina wengi
Na kwenye wengi kuna mengi
 
Yani MTU anajitokeza hadharani kukiri ushenzi afu wewe umsifu kuwa eti ni shujaa...!

Kweli dunia ina wengi
Na kwenye wengi kuna mengi
FATMA KARUME NI SHUJAA!

KAMA HUTAKI HAMA NCHI UENDE JANGWA LA SAHARA UKAFIE HUKO!
 
Kaka muache mzungu aendelee kwenye kila kitu kwa sababu kaachana na mambo ya kufikilika eti dhambi? Wamefika point hata dini hawaamini wanafanya vitu vya kuonekana sio vya kufikilika ukija huku Tz unakuta GWAJIMA ana lundo la watu(waumini) anawadanganya kuwa kila kitu watakipata kwa YESU huku yeye akitaka Gari aina ya HAMMER anaenda kununua U.S.A kwa nini asimsubilie Yesu kumshushia kutoka juu mbinguni.
Hapa ndio utakapoona chizi hajijui kuwa yeye ni chizi
 
Fatuma yupo sahihi kama ukimsikiliza na masikio yasiyofungamana na dini za kuletwa na weupe
Na huo mchezo wa kutifuana wanaume umeshika kasi baada ya kuja hao watu weupe.

Waafrika wabantu hawakuwa na mambo hayo.
 
Sio kawaida sana kuona Ndugu Tundu Lissu kawa mkimya ghafla au kachelewa kiasi hiki kureact kwenye jambo nyeti linalohusu sheria na chama cha wanasheria.
Tukumbuke kuwa kabla ya kuitishwa uchaguzi wa TLS Tundu lissu alikuwa rais wao na hakupata fursa kubwa ya kukamilisha mipango na mikakati au matarajio ya chama cha wanasheria.
Hivyo naamini kuwa ni kwa kiasi kikubwa bado lissu anawasiliana sana na rais wa TLS mpya na hivyo matamko mbalimbali toka kwa mwanajumuia namba moja wa TLS yatakuwa na aina fulani ya baraka za kina lissu n.k.

Hii suasua ya Lissu kutoa tamko kali dhidi ya mashoga /ushoga au kutoa kauli ya kuunga mkono inasababishwa na nini?

namuita Lissu aje kutoa msimamo wake na ufafanuzi ili kusafisha fedheha dhidi ya TLS.

CC: Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom