TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Ama kweli kuna viumbe akili zao zimeoza.Hakuna sehemu ambayo Fatuma Karume alisema kuwa maoni na msimamo alioutoa ni wa TLS.Bali Fatuma alienda mbali zaidi kimsimamo kwakusema kuwa yeye atasaidia kisheria tukio hili,na hakusema chama kitasimamia.Tuwe tunaelewa kauli za mtu vizuri,na kama tunakuwa na matatizo kichwani basi yafaa kukaa kimya.Acheni ushabiki na kutafuta vyeo.
 
Naungana na ww kiongozi hakuna wakati Rahisi Magufuri akitoa neno popote pole au wakati wowote ule tuseme ni Mambo yameingiliana binafsi wala sio kama Rahisi hivyo ndivyo huwezi kutenganisha alixhosema Shangazi kuwa ni binafsi wakati ni Raisi wa TLS
Baba yako akimnunua malaya inakuwa familia ndiyo imemnunua?
 
Ushoga Waigawa TLS

Mambo si shwari ndani ya uongozi na wanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS).

Baada ya wengi kuchukizwa na tabia za Rais wao Fatma Karume kuropoka ropoka mitandaoni na kuonekana wazi kushabikia Chadema, sasa la ushoga ndi limekuwa kaa la moto.

Wakili Fatma ambaye yeye mwenye maisha yake ya ndoa hayaeleweki sasa kalizuq alipoonekana kuunga mkono si tu ushoga bali kwenda mbali zaidi kwa kiwango cha kusema wanaopeana kinyume cha maumbile nao waachwe waenjoy.

Hili limewauma TLS na wamwshamkana kupitia ukurasa wao wa Facebook.

Zipo tetesi kuwa Konki Konki Master aka Mamba wakati wowote kuanzia sasa atawaambia Watanzania kitu cha kushangaza kuhusu Wakili Fatma Karume.😀😀

Tusubiri.

Watu wanamshangaa Fatma kwa hili la ushoga? Wangejua hata robo ya mambo ya huyo binti mbona wangezimia! Ana madudu ya kufa mtu.
 
Kisheria msemaji wa TLS ni mmoja tu Rais, hivyo yeye mwenyewe ndiye aliyetakiwa kusema kuwa anaongea kama nani, at the moment hata hili tamko tunajiuliza nani amelitoa wakati msemaji ni Rais
 
Wanaogopa wasije chomewa file bhana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Tuache Umbea, Fatuma aliandika mawazo yake, sasa ubaya uko wapi? Huo mgawanyiko uko wapi? Una chuki na CHADEMA ndio maana unazungumzia TLS bado unaitaja CHADEMA, huo ni wendawazimu, karibu Mbeya
 
Salamu mbele!

Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema maoni na mitazamo yanayotolewa na wanachama au viongozi wa TLS kwenye akaunti zao binafsi siyo mtazamo wa chama hicho.

Kauli hii ya TLS inakuja ikiwa ni siku mbili toka Rais wa chama hicho cha wanasheria wasomi kutangaza kupitia akaunti yake ya twitter kuwa anaunga mkono na kusapoti haki za wapenzi wa jinsia moja nchini au mashoga. Swala hilo lilizua mkanganyiko na mtanziko huku wengine wakiuhusisha mtazamo huo na mtazamo wa TLS.

Hata hivyo kumekuwepo na mkanganyiko juu ya iwapo maoni ya Rais wa chama hicho yanaweza kutenganishwa na mtazamo wa chama ikiwa msemaji anayetambulika kisheria ni Rais wa chama.View attachment 920352

Wajiandae kumkana na hayo mengine yatakapoanikwa.
 
Ila rais wa nchi akitoa mawazo yake binafsi huwa mnayachukulia kama ya rais wa nchi na ya chama tawala.
HATUDANGANYIKI, HILO NI TAMKO LA TLS TENA LIMETOLEWA NA RAIS WAKE KUTILIA UZITO.
Inamana baba wa familia akiiba inakuwa familia imeiba?Inamana rais wa TLS akiuwa inakuwa chama cha TLS kimeua?.
 
FATMA KARUME NI SHUJAA!

KAZUNGUMZA JAMBO AMBALO WANAFIKI WENGI WANALIKWEPA NA KULIKIMBIA LAKINI KUMBE NI WASHIRIKA WAZURI WA UFIRAUNI.

WATU WAWILI WENYE AKILI ZAO WAKIAMUA KUTIFUANA VYUMBANI HUKO INAKUUMA NINI!?
 
Tuache Umbea, Fatuma aliandika mawazo yake, sasa ubaya uko wapi? Huo mgawanyiko uko wapi? Una chuki na CHADEMA ndio maana unazungumzia TLS bado unaitaja CHADEMA, huo ni wendawazimu, karibu Mbeya
Ungekuwa una upungufu wa damu ningekuongezea, lakini una tatizo la upungufu wa akili, nikusaidieje sijui!
 
Ushoga Waigawa TLS

Mambo si shwari ndani ya uongozi na wanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS).

Baada ya wengi kuchukizwa na tabia za Rais wao Fatma Karume kuropoka ropoka mitandaoni na kuonekana wazi kushabikia Chadema, sasa la ushoga ndi limekuwa kaa la moto.

Wakili Fatma ambaye yeye mwenye maisha yake ya ndoa hayaeleweki sasa kalizuq alipoonekana kuunga mkono si tu ushoga bali kwenda mbali zaidi kwa kiwango cha kusema wanaopeana kinyume cha maumbile nao waachwe waenjoy.

Hili limewauma TLS na wamwshamkana kupitia ukurasa wao wa Facebook.

Zipo tetesi kuwa Konki Konki Master aka Mamba wakati wowote kuanzia sasa atawaambia Watanzania kitu cha kushangaza kuhusu Wakili Fatma Karume.😀😀

Tusubiri.

Fatma Karume amechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom