TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Shangazi kwa hili amebugi step aliingiza siasa badala ya uhalisia

Hahahhh katika harakati za kuomba kura 2020 kimtindo
Shangazi alikurupuka

Kuteleza si kuanguka
Njoo ufafanue kiduchuuuuu Uzurii wa WaTz wepesi kusahau. Ndipo utaungana katika kupinga ushoga.
 
Haaa eti TLS wanampinga Rais wao? TLS wajiandae kupigwa amber rutty hawana jinsi walikurupuka kumchagua shoga au homosexual kuwa Rais wao walitegemea nn? Wao waandae tu amber rutty zao wasianze kulalamika na kujihami maana lazima ziliwe tu..😛😉 Sasa kama Rais wao anaunga mkono ushoga na mapenzi ya jinsia moja anaowaongoza watakataa vipi? Yaani hapa lazima TLS wapigwe amber rutty bila KY wallaah watakomaa kuchagua hovyo hovyo next time.. Haaaaa.. kiherehere kitawaisha ooh sisi TLS ooohh tunapinga serikali, sijui nn.. Sasa pingeni na ushoga na ufirauni sasa kiongozi wenu anaupendaaa na anauambia umma anatinga kortini kuutetea ufir@uni..😡😳
 
Rais anaongoza taasisi ambayo HAIAMINI mtizamo wako? Rais wa TFF awe na mlengo tofauti na TFF....kazi ipo.
 
Acheni kuhangaika, hakuna asiejua yale ni maoni yake.Mnatafuta upenyo wa kutaka kuivuruga TLS na hamtaupata kamwe!
Kama wewe ni Wakili, hujui unachotetea. Mlikaa na kumchagua Mmama ambaye mnaamini huwa na mawazo/hoja mkanganyiko. Mkubali wanachama kubeba lawama za maamuzi yenu, kwa jinsi viongozi wa upinzani, wanavyoaminisha kuwa kauli za Magufuli, wakati wote uwakilisha CCM au Serikali.

Ni vigumu kutengenisha msimamo wa Kiongozi Mkuu na wa Taasisi anayoiongoza.
 
shangazi sijui anatoaga nyuma..
dah
wengine wanasema ndio ilikuwa tabia ya babake, Karu the 1st
 
waarabu wasema "WALL JUNUNNU FUNNUNU"
waswahili twesama
"kila mwendawazimu nanjia zake"
 
Nchi za kiislamu zimeshamuweka Black List haruhusiwi kukanyaga hizo nchi viongozi wa TLS toeni tamko official la extra ordinary meeting kabla uongozi wote wa TLS haujawekwa Black List kukanyaga nchi za Kiislamu.Sio swala dogo toeni tamko la vikao official la vikao vilivyokaa.Huyu Fatuma hajielewi uraisi TLS una maana gani kimataifa anadhani ni sawa Na kuwa mwenyekiti wa Chama cha madereva Na makondakta wa daladala ambako Kila mmiliki Ruksa kutoa maoni ya daladala yake
Acha uongo!! Mbona nchini za kiarabu za kiislamu hazikumuwekea "Black list" Obama alipokuwa Raisi wa Marekani, Obama alikuwa anasapoti ndoa za jinsi moja, utowaji wa mimba, haki za mashoga nk
 
Salamu mbele!

Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema maoni na mitazamo yanayotolewa na wanachama au viongozi wa TLS kwenye akaunti zao binafsi siyo mtazamo wa chama hicho.

Kauli hii ya TLS inakuja ikiwa ni siku mbili toka Rais wa chama hicho cha wanasheria wasomi kutangaza kupitia akaunti yake ya twitter kuwa anaunga mkono na kusapoti haki za wapenzi wa jinsia moja nchini au mashoga. Swala hilo lilizua mkanganyiko na mtanziko huku wengine wakiuhusisha mtazamo huo na mtazamo wa TLS.

Hata hivyo kumekuwepo na mkanganyiko juu ya iwapo maoni ya Rais wa chama hicho yanaweza kutenganishwa na mtazamo wa chama ikiwa msemaji anayetambulika kisheria ni Rais wa chama.View attachment 920352

I wanted this
 
Liko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe Raisi wa TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLS
Kwahiyo hana maisha nje ya TLS?
 
Hili mbona liko wazi kabisa!Yale yalikuwa ni maoni yake binafsi na wala si ya taasisi anayoiongoza.
Nyie watu, leo bosi wenu kakamatika mnasema ni maoni binafsi, Magufuli akiongea utani mnasema ni kauli ya Serikali.
 
wamekana sawa,nini maoni yao kama chama kuhusiana na kiongozi wao?,wanamsapoti au la,
Dah ...watu wengine sijui mkoje inamaana mpaka sasa Juu ya andiko la TLS hujui wanamaanisha nini? Watu wajinga sijui wataisha lini
 
Hili mbona liko wazi kabisa!Yale yalikuwa ni maoni yake binafsi na wala si ya taasisi anayoiongoza.
Raisi yeyote wa taasi akitoa neno Basi ujue ndo msimamo wa taasi .
ILA nasikitika SANA kwa wale wanaosapoti USHOGA NA USAGAJI kwenye Nchi yetu ya Tanzania .
Ni Aibu sana kuona au kusikia Hivo.
MUNGU TUNAOMBA UTUEPUSHE NA JANGA HILI
 
Raisi yeyote wa taasi akitoa neno Basi ujue ndo msimamo wa taasi .
ILA nasikitika SANA kwa wale wanaosapoti USHOGA NA USAGAJI kwenye Nchi yetu ya Tanzania .
Ni Aibu sana kuona au kusikia Hivo.
MUNGU TUNAOMBA UTUEPUSHE NA JANGA HILI
UNAISHI KWENYE DUNIA YAKO YA KUFIKIRIKA.

ENDELEA KUCHAPA USINGIZI!
 
Hili lijimama halina tofauti na wa saluni, unapokuwa unaongea hata binafsi unahitaji kujua wewe tayari ni nani katika ulimwengu ili ujitahidi kuchuja sana maneno yako. Niliona mnamwandama sana rais JPM alipoongea kuhusu uzazi wa mpango alafu leo mnajifanya kutokuona hilo tatizo kwa huyu kibibi

Ukishakuwa kiongozi unahitaji mda mwingi kureserve maoni yako hasa yale ambayo yataleta contradictions juu ya taasisi yako na ndo maana walio wengi huwa wanaishia kusema "no comments, tutaona kwenye vikao n.k" hii maana yake ni kutoruhusu mambo ya hovyo kama haya.

Tatizo ni lile lile, weredi kwetu ni shida sana na wanawake kawaida hawanaga vifua yanapokuja mambo makubwa ya hivi. Ni sawa na wakati ule mkwe wa JK akiwa waziri wa fedha yule mama alisema mbele ya watu eti alidanganywa, kilichompata ni kupigwa chini ....wanawake siku zote ni hopeless kabisa kupewa titles kubwa vile.
 
Nakipongeza chama Cha wanasheria Tanzania kwa kutoka adharani na kueleza kuwa msimamo wa Rais wao dhidi ya Homosexuality siyo msimamo wa chama bali ni mawazo yake binafsi.

Hii inanifanya chama kuaminika na kuonekana kuwa taasisi siyo mtu binafsi Bali ni muunganiko wa watu na kwamba siyo kila asimacho kiongozi wa taasisi ni msimamo wa taasisi bali mengine ni mawazo binafsi yanayolindwa na Uhuru wa kutoa maoni.

Aidha, Kitendo Cha Rais wa TLS kukubali kupingwa na anaowaongoza ni Cha kiungwana na kinaonyesha kuwa anaamini kuwa taasisi ina nguvu kuliko yeye.

Wito wangu ni kwa Marais na viongozi mbalimbali wa taasisi nchini vikiwemo vyama vya siasa kujifunza kutenganisha mawazo binafsi na msimamo wa taasisi wanazoongoza na pale wanapokosolewa kwa kauli zao basi wakubali kuwajibika na siyo kutumia nafasi zao kuwateketeza wenye mawazo pingamizi.
 
Back
Top Bottom