Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,692
- 164,962
Hili mbona liko wazi kabisa!Yale yalikuwa ni maoni yake binafsi na wala si ya taasisi anayoiongoza.
What applies in the US can't be the same to Ikungulyabashashi.Fatma is 1,000% right on this issue.
Ms. Lady if you’re here [in JF] just know that I got your back.
Homosexuals are human beings too.
Liko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe Raisi wa TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLSHili mbona liko wazi kabisa!
What applies in the US can't be the same to Ikungulyabashashi.
I strongly disagree with homos.
Just imagine if it's your daughter being sodomised, nudity is acceptable in bedrooms, not on public.
Waitishe extra ordinary general meeting watoe official statement Na maamuzi waache ujingaNadhani wangemkana na huyo Mmama,ingekuwa bora sana.
Acheni kuhangaika, hakuna asiejua yale ni maoni yake.Mnatafuta upenyo wa kutaka kuivuruga TLS na hamtaupata kamwe!Liko wazi kwa nani Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko feki Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.
Animals are better than homos. I have never seen them sodomising, never at all.Homosexuality is everywhere! And that includes other animals as well, just an FYI!
Kwa hiyo akisema kuwa yeye ni kichaa ni tamko rasmi sababu yeye ni Rais?Liko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLS
Ila rais wa nchi akitoa mawazo yake binafsi huwa mnayachukulia kama ya rais wa nchi na ya chama tawala.Salamu mbele!
Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema maoni na mitazamo yanayotolewa na wanachama au viongozi wa TLS kwenye akaunti zao binafsi siyo mtazamo wa chama hicho.
Kauli hii ya TLS inakuja ikiwa ni siku mbili toka Rais wa chama hicho cha wanasheria wasomi kutangaza kupitia akaunti yake ya twitter kuwa anaunga mkono na kusapoti haki za wapenzi wa jinsia moja nchini au mashoga. Swala hilo lilizua mkanganyiko na mtanziko huku wengine wakiuhusisha mtazamo huo na mtazamo wa TLS.
Hata hivyo kumekuwepo na mkanganyiko juu ya iwapo maoni ya Rais wa chama hicho yanaweza kutenganishwa na mtazamo wa chama ikiwa msemaji anayetambulika kisheria ni Rais wa chama.View attachment 920352
Animals are better than homos. I have never seen them sodomising, never at all.
Let's agree to disagree!