TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Ni ruksa kama unabisha soma hii.Kama una akili jiulize kwanini Makonda anahangaika na Ushoga? Hivi umewahi kujiuliza kwanini huyu jamaa hafukuzwi na JPM hata akifanya makosa gani? Fanya utafiti mdogo tu utajua. Lakini pia ulizia kama RC Makonda ana watoto wa kuzaa au hana....Akili za kuambia changanya na za kwako!!!

View attachment 921298
Tuambie kwanini??
 
Unapokuwa unaongea hata binafsi unahitaji kujua wewe tayari ni nani katika ulimwengu ili ujitahidi kuchuja sana maneno yako. Niliona mnamwandama sana rais JPM alipoongea kuhusu uzazi wa mpango alafu leo mnajifanya kutokuona hilo tatizo kwa huyu kibibi

Ukishakuwa kiongozi unahitaji mda mwingi kureserve maoni yako hasa yale ambayo yataleta contradictions juu ya taasisi yako na ndo maana walio wengi huwa wanaishia kusema "no comments, tutaona kwenye vikao n.k" hii maana yake ni kutoruhusu mambo ya hovyo kama haya.

Sasa rais wa chama amejiweka wazi anaunga mkono na kutetea ushoga na usagaji huku akijua sheria za nchi zinapinga mambo hayo.

Ili kujisafisha na kuendelea kuheshimika mbele ya jamii TLS wakae na kumvua madaraka huyu mama.
Kinyume na hivyo hamna atakayeamini tena hilo lichama lao.

Kauli ya makonda kuhusu kampen ya ushoga ni wazo lake binafsi au serikali?
Tuanze hapo kwanza
 
Hiyo ni lugha ya kuwanyamazisha kina Fatma,nyumbu wenzao humu wakiongozwa na mgonjwa mwenye kiherehere.
Kama usingekuwa msimamo wa serekali,wangemzuia kuendelea na kampeni hiyo
Usiwe Mgumu Kuelewa. Mpaka Hapo Serikali Imeshaweka Bayana Kuwa Haiungi Mkono Operation Hiyo. Ni Mawazo Ya Mtu Mmoja.
 
Elitwege naomba kusema wazi kwamba nakuunga mkono lakini pia kuweka rekodi sahihi kwa kuanzisha uzi uliotokana na comment yangu juu ya huyu kigagula. Haya zako mbili za mwanzo umezichukua kwenye mchango wangu kutoka thread ya hawali kabisa i.e copy&paste.

Siku nyingine jaribu kuzingatia hilo.
So far so together!
Kamshitaki kwa mod
 
Kiswahili balaa haya bada ya aya,hawali badala ya awali. Kweli majanga mtu ukinyamaza hawatajua kama hujui hivyo!.
 
Usiwe Mgumu Kuelewa. Mpaka Hapo Serikali Imeshaweka Bayana Kuwa Haiungi Mkono Operation Hiyo. Ni Mawazo Ya Mtu Mmoja.
Hiyo barua mbona haijasainiwa na mtu yoyote zaidi ya kuonekana kama press release kwenye gazeti la udaku.
 
Unapokuwa unaongea hata binafsi unahitaji kujua wewe tayari ni nani katika ulimwengu ili ujitahidi kuchuja sana maneno yako. Niliona mnamwandama sana rais JPM alipoongea kuhusu uzazi wa mpango alafu leo mnajifanya kutokuona hilo tatizo kwa huyu kibibi

Ukishakuwa kiongozi unahitaji mda mwingi kureserve maoni yako hasa yale ambayo yataleta contradictions juu ya taasisi yako na ndo maana walio wengi huwa wanaishia kusema "no comments, tutaona kwenye vikao n.k" hii maana yake ni kutoruhusu mambo ya hovyo kama haya.

Sasa rais wa chama amejiweka wazi anaunga mkono na kutetea ushoga na usagaji huku akijua sheria za nchi zinapinga mambo hayo.

Ili kujisafisha na kuendelea kuheshimika mbele ya jamii TLS wakae na kumvua madaraka huyu mama.
Kinyume na hivyo hamna atakayeamini tena hilo lichama lao.
Huko lumumba kichwani mmejaza vumbi
Screenshot_2018-10-15-13-11-50-1.jpg
 
Serikali imemkana Makonda,unaonaje afukuzwe?
Siyo makonda afukuzwe Bali waziri Wa mambo ya nje ndiye angefukuzwa

...,.........................

Warumi 1:21-22,24,26-32
[21]kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
[22]Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
[24]Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
[26]Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
[27]wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
[28]Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
[29]Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
[30]wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
[31]wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
[32]ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
 
Elitwege naomba kusema wazi kwamba nakuunga mkono lakini pia kuweka rekodi sahihi kwa kuanzisha uzi uliotokana na comment yangu juu ya huyu kigagula. Haya zako mbili za mwanzo umezichukua kwenye mchango wangu kutoka thread ya hawali kabisa i.e copy&paste.

Siku nyingine jaribu kuzingatia hilo.
So far so together!
Ugigisi
 
Warumi 1:21-22,24,26-32
[21]kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
[22]Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
[24]Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
[26]Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
[27]wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
[28]Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
[29]Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
[30]wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
[31]wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
[32]ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
 
TLS Mtaclaryfy kuhusu msimamo wa Rais wenu mstaafu?
 
Back
Top Bottom