TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

kwahyo ww ufanye ushoga wako umwite lisu aseme kitu...upuuzi
 
Kuna Jitu Linaweza Amka Asubuhi Likaamua Kufanya LiUpuuzi Limoja Makusudi Tuu Ili Watu Waanze Kulizungumzia Hilo LiUpuuzi Waache Mambo Yao Ya Msingi.
 
Kwenye mambo ya kipuuzi yasiyo na tija kwa hali,Uhuru na maendeleo ya walio wengi ndio mnahoji na kuona umuhimu wa Lisu but on tangible issue hamtaki ushauri wake.
 
Sio kawaida sana kuona Ndugu Tundu Lissu kawa mkimya ghafla au kachelewa kiasi hiki kureact kwenye jambo nyeti linalohusu sheria na chama cha wanasheria.
Tukumbuke kuwa kabla ya kuitishwa uchaguzi wa TLS Tundu lissu alikuwa rais wao na hakupata fursa kubwa ya kukamilisha mipango na mikakati au matarajio ya chama cha wanasheria.
Hivyo naamini kuwa ni kwa kiasi kikubwa bado lissu anawasiliana sana na rais wa TLS mpya na hivyo matamko mbalimbali toka kwa mwanajumuia namba moja wa TLS yatakuwa na aina fulani ya baraka za kina lissu n.k.

Hii suasua ya Lissu kutoa tamko kali dhidi ya mashoga /ushoga au kutoa kauli ya kuunga mkono inasababishwa na nini?

namuita Lissu aje kutoa msimamo wake na ufafanuzi ili kusafisha fedheha dhidi ya TLS.

CC: Pascal Mayalla
Ndugu Jingalao, Hii sio mara yake yakwanza kwa Lissu kujiziba macho, mdomo na masikio, hawezi kimkosoa mwana chadema mwenzake hata akivunja sheria .

He will never comment on the wrong doing of the people of his self interest period.

Na kama hakulitolea comments swala hili basi tutajua anaunga mkono mawazo ya Bi Karume.

Umewahi kumzikia akikemea ukichaa wa lema hata siku moja.

Always he has been biased
 
kwahyo ww ufanye ushoga wako umwite lisu aseme kitu...upuuzi
Soma thread kwa utulivu ..uielewe.
soma thread kama mamba konki master na sio wale wengine.

#backtotopic
 
Kwenye mambo ya kipuuzi yasiyo na tija kwa hali,Uhuru na maendeleo ya walio wengi ndio mnahoji na kuona umuhimu wa Lisu but on tangible issue hamtaki ushauri wake.
Uataka upuuzi huo uwe rasmi?Assume chama cha madaktari kije na kauli kuwa ushoga hauna madhara unafahamu impact yake kijamii?
 
Ukiwa Rais Wa taasisi lazima ujue maneno yako unayo yatia kwenye jamii yana aksi kwenye hiyo taasisi. Na ndio maana hadi taasisi imetoka kuja kutoa ufafanuzi. Siku nyingine mjifunze kwamba uongozi huondoa sehemu ya Uhuru wako na kuwa mtumwa Wa cheo ulicho nacho. Shangazi chunga sana hayo matamshi yako.
 
Sio kawaida sana kuona Ndugu Tundu Lissu kawa mkimya ghafla au kachelewa kiasi hiki kureact kwenye jambo nyeti linalohusu sheria na chama cha wanasheria.
Tukumbuke kuwa kabla ya kuitishwa uchaguzi wa TLS Tundu lissu alikuwa rais wao na hakupata fursa kubwa ya kukamilisha mipango na mikakati au matarajio ya chama cha wanasheria.
Hivyo naamini kuwa ni kwa kiasi kikubwa bado lissu anawasiliana sana na rais wa TLS mpya na hivyo matamko mbalimbali toka kwa mwanajumuia namba moja wa TLS yatakuwa na aina fulani ya baraka za kina lissu n.k.

Hii suasua ya Lissu kutoa tamko kali dhidi ya mashoga /ushoga au kutoa kauli ya kuunga mkono inasababishwa na nini?

namuita Lissu aje kutoa msimamo wake na ufafanuzi ili kusafisha fedheha dhidi ya TLS.

CC: Pascal Mayalla
Hapo unamuonea TL. Demokrasia ni uzungu. Hamna mtu anaepigania demokrasia ya ukweli anaweza akapinga ushoga kwasababu demokrasia inawapa haki zao zote mashoga.
 
Ungeuliza, msimamo wa Kikwete rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu ushoga ni upi?
 
Toka mwanzo ilionesha si chaguo sahihi kwa nafasi ile. Ila kwa kuwa ni nchi ya matukio, ushabiki na kiki sasa mmeona rangi na uwezo wake.

Inatia aibu unapokuta wasomi pia ni mashabiki maandazi.
 
Baba yako akimnunua malaya inakuwa familia ndiyo imemnunua?
Soma vizuri upate maana halisi sikusema kuwa Raisi akitukana ni watanzania wote wametukana au akiiba watanzania wote wameiba maana yangu ni kuwa chochote anachofanya,kusema na kutenda akiwa na cheo cha Raisi huwezi kutenganisha na cheo chake.
Hakuna wakati Raisi hatasema kama mtu binafsi
 
Ndugu Jingalao, Hii sio mara yake yakwanza kwa Lissu kujiziba macho, mdomo na masikio, hawezi kimkosoa mwana chadema mwenzake hata akivunja sheria .

He will never comment on the wrong doing of the people of his self interest period.

Na kama hakulitolea comments swala hili basi tutajua anaunga mkono mawazo ya Bi Karume.

Umewahi kumzikia akikemea ukichaa wa lema morning siku moja.

Always he has been biased
Fatma Karume amevunja sheria gani mpaka Lissu amkosoe?!
 
Sio kawaida sana kuona Ndugu Tundu Lissu kawa mkimya ghafla au kachelewa kiasi hiki kureact kwenye jambo nyeti linalohusu sheria na chama cha wanasheria.
Tukumbuke kuwa kabla ya kuitishwa uchaguzi wa TLS Tundu lissu alikuwa rais wao na hakupata fursa kubwa ya kukamilisha mipango na mikakati au matarajio ya chama cha wanasheria.
Hivyo naamini kuwa ni kwa kiasi kikubwa bado lissu anawasiliana sana na rais wa TLS mpya na hivyo matamko mbalimbali toka kwa mwanajumuia namba moja wa TLS yatakuwa na aina fulani ya baraka za kina lissu n.k.

Hii suasua ya Lissu kutoa tamko kali dhidi ya mashoga /ushoga au kutoa kauli ya kuunga mkono inasababishwa na nini?

namuita Lissu aje kutoa msimamo wake na ufafanuzi ili kusafisha fedheha dhidi ya TLS.

CC: Pascal Mayalla
Ukiona hivyo ujue ameelewa Fatma Karume anamaanisha nini, nimeona Kibatala anasema ameongea na Fatma Karume kuhusu sapoti yake kwa mashoga na amemuelewa sasa hawa watu wanajuana na mara nyingi silence means yes
 
Hivi maana yake nini Rais Wa TLS anapowatetea Mashoga na Wasagaji
 
Back
Top Bottom