TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
"Tunapenda kuujulisha umma kuwa TLS inatoa mitazamo, matamko au elimu juu ya sheria kupitia account zake rasmi za kijamii na si account za wanachama wake binafsi. Hivyo chochote anachokipost mwanachama au kiongozi kupitia account binafsi hakifungamani na mtazamo wa @TanganyikaLaw"

TLS.PNG

Hiyo ni taarifa ambayo imetolewa muda mfupi na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupitia mtandao wa Twitter.

Ifahamike kuwa taarifa hii inakuja muda mfupi baada ya uwepo wa vuguvugu la mijadala tata inayoendelea nchini ambapo Rais wa chama hicho amekuwa akitoa maoni yanayoibua maswali na wadau kuhusisha mitazamo hiyo kama ndio mtazamo wa chama anachokiongoza.

Huenda ikawa ni clarification nzuri. Lakini kwa jicho lingine, hii inatoa taswira kwamba pengine TLS haifurahii misimamo yake kadha wa kadha kiasi kwamba inaamua kujiepusha nazo.

Mjadala unaoendelea kushika kwa kasi hivi sasa ni kuhusu suala la Ushoga ambapo Rais wa TLS, Fatma Karume ameonekana kulitetea kwa nguvu zote na hata kushauri yafanyike mabadiliko ya kisheria ili ikibidi wapenzi wa jinsia moja watambuliwe.

Kwa maoni yangu: Hii ni good move ambayo TLS wameifanya. Itasaidia kuepusha mikanganyiko iliyoanza kujitokeza baina ya wasiokubaliana na mitazamo ya Rais huyo na ya wanachama wengine.
 
Memba wa nini? I think she's entitled to her own opinions. Angalau sasa atakuwa 'crucified' kwa maneno yake as an individual.
Anawezakuwa naye huwa anatumia uhuru wake. Kwani ..... Si wake!!?
Kwanini apangiwe
 
Kwa huyo Mwanamke wameingia chaka, ana maneno meengi lkn kichwani mtupu kabisa hawezi hata kupima uzito wa matendo yake achilia mbali hata maneno tu, sijui ni kigezo gani hata kilitumika kumchagua, anyway labda ndo kioo cha Wanasheria wa Tanzania, wanaweka feelings mbele badala ya logic kama huyo Mwanamke Fatuma, who knows?
 
"Tunapenda kuujulisha umma kuwa TLS inatoa mitazamo, matamko au elimu juu ya sheria kupitia account zake rasmi za kijamii na si account za wanachama wake binafsi. Hivyo chochote anachokipost mwanachama au kiongozi kupitia account binafsi hakifungamani na mtazamo wa @TanganyikaLaw"

Hiyo ni taarifa ambayo imetolewa muda mfupi na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupitia mtandao wa Twitter.

Ifahamike kuwa taarifa hii inakuja muda mfupi baada ya uwepo wa vuguvugu la mijadala tata inayoendelea nchini ambapo Rais wa chama hicho amekuwa akitoa maoni yanayoibua maswali na wadau kuhusisha mitazamo hiyo kama ndio mtazamo wa chama anachokiongoza.

Huenda ikawa ni clarification nzuri. Lakini kwa jicho lingine, hii inatoa taswira kwamba pengine TLS haifurahii misimamo yake kadha wa kadha kiasi kwamba inaamua kujiepusha nazo.

Mjadala unaoendelea kushika kwa kasi hivi sasa ni kuhusu suala la Ushoga ambapo Rais wa TLS, Fatma Karume ameonekana kulitetea kwa nguvu zote na hata kushauri yafanyike mabadiliko ya kisheria ili ikibidi wapenzi wa jinsia moja watambuliwe.

Kwa maoni yangu: Hii ni good move ambayo TLS wameifanya. Itasaidia kuepusha mikanganyiko iliyoanza kujitokeza baina ya wasiokubaliana na mitazamo ya Rais huyo na ya wanachama wengine.
Ukimpa mtu mjinga akuongozee taasisi nyeti kama hii basi ujiandae siku moja kuwa uchi uyo bib ukiyafuwatilia maisha yake unaweza kujiuliza nini kimeikumba tls. Kiufupi hafai hafai hata kwa kumosha kwa acid hafai hafai ila taifa letu na vijana wetu hawajawahi shindwa BlackBerry huyu nizam yake kuaibika na kutuachia tls yetu arudi zanz kuhamasisha ushoga
 
Naongea kwa dhati yang kwamba serikali iliponyoshea mkono TLS kujihusisha na siasa moja kwa moja tulipiga Kelele kwamba inaingialia uhuru Wa taasisi hyo nyeti kabsa inayotambuliwa kisheria

Sasa binafs nimeanza kuelewa nini serikali ilimanisha!!

kwa mtanzania halisi ña Mwanasheria akiwa kama msomi na mtu mzima hataona Haya kupinga ujinga unaotetewa na huyu mamá asiye na chembe hata ya soni!!! Kutetea kitu cha kijinga kama hicho...

Naungana ña mtoa mada kuwa wanatls hawajaridhishwa na maneno ya huyu mama ila niwakunbushe tu kwamba kwa kauli ya rais wao hili lazima walibebe kwani rais wao kaonyesha msimamo wake na nijuavyo mie siyo kweli ati kilichosemwa hakina uhusiano na tls noooooi!!! Popote awapo rais na lolote alisemalo linakofia ya urais hvyo hapo wakubali ni aibu kwao

Madhara ya kuruhusu kuingiza siasa kwenye taass kama hii ni kama Haya,,, serikali iliona madhara yake chini ya wizara ya katiba ña sheria na AG ila tulipiga kelel sasa naona tumeanza kuona taswira yake
 
Anaaibisha familia ya Karume, bora anyamaze kimya.
Au Zanzibar suala la Amber ni kawaida.?
Asituharibie Chama chetu, TLS, chenye wazanzibari wazuri kama schoolmate wangu Hon. Agustine Ramadhani
 
Fatma is 1,000% right on this issue.

Ms. Lady if you’re here [in JF] just know that I got your back.

Homosexuals are human beings too.
 
Fatma is 1,000% right on this issue.

Ms. Lady if you’re here [in JF] just know that I got your back.

Homosexuals are human beings too.
If you get banged in your bedroom on your own consent, it's none of my business!

But if you post yourself enjoying dick in the social media where our younger generation is bound to see it, then it's our business cause the laws are against it.

Only the laws and the court decide what is wrong and what is right!
 
Should there be no efforts to make them useful, rather than just leaving them alone?

Who you *** or who fcuks you is none of my business.

What part of that don’t you understand?

It’s not rocket science for God’s sake!!
 
Back
Top Bottom