TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Kwa nini tusipite nyumba kwa nyumba kuhakikisha kama wanapata maji safi na salama.Je wakiwapata hao mashoga wanaenda kuwatibu au? eti jela? wada fa....
WENGI HAWAJITAMBUI NDIO MAANA WANAPAMBANA NA MAMBO YA KUFIKIRIKA NA KUACHA KUSHUGHULIKIA MAMBO YA MSINGI.

HAYO MAADILI YA KITANZANIA YANALETA CHAKULA MEZANI?

HAYO MAADILI YA KITANZANIA NDIO YANAWAPA AJIRA WAHITIMU WA VYUO?

UPUMBAVU TU !
 
TLS inaongozwa na anaeshabikia Ushoga, na huyo anaetoa maoni kwa twitter anashabikia mashoga.. Sisi hayatuhusu mtajua wenyewe
Huo no ukweli sema watu hawataukubali wameshazoea kusema Rangi nyeusi ni nyeupe.
 
WENGI HAWAJITAMBUI NDIO MAANA WANAPAMBANA NA MAMBO YA KUFIKIRIKA NA KUACHA KUSHUGHULIKIA MAMBO YA MSINGI.

HAYO MAADILI YA KITANZANIA YANALETA CHAKULA MEZANI?

HAYO MAADILI YA KITANZANIA NDIO YANAWAPA AJIRA WAHITIMU WA VYUO?

UPUMBAVU TU !
Kaka muache mzungu aendelee kwenye kila kitu kwa sababu kaachana na mambo ya kufikilika eti dhambi? Wamefika point hata dini hawaamini wanafanya vitu vya kuonekana sio vya kufikilika ukija huku Tz unakuta GWAJIMA ana lundo la watu(waumini) anawadanganya kuwa kila kitu watakipata kwa YESU huku yeye akitaka Gari aina ya HAMMER anaenda kununua U.S.A kwa nini asimsubilie Yesu kumshushia kutoka juu mbinguni.
 
Nimeona ' comment ' ya Fatma Karume katika ' Twita Akaunti ' yake juu ya hili ' Sakata ' amenisikitisha mno na najitafakari bado je nianze Kumpuuza kuanzia sasa na leo au niheshimu tu mawazo yake kama ambavyo labda na Mimi nitataka yangu yaheshimiwe.
 
Salamu mbele!

Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema maoni na mitazamo yanayotolewa na wanachama au viongozi wa TLS kwenye akaunti zao binafsi siyo mtazamo wa chama hicho.

Kauli hii ya TLS inakuja ikiwa ni siku mbili toka Rais wa chama hicho cha wanasheria wasomi kutangaza kupitia akaunti yake ya twitter kuwa anaunga mkono na kusapoti haki za wapenzi wa jinsia moja nchini au mashoga. Swala hilo lilizua mkanganyiko na mtanziko huku wengine wakiuhusisha mtazamo huo na mtazamo wa TLS.

Hata hivyo kumekuwepo na mkanganyiko juu ya iwapo maoni ya Rais wa chama hicho yanaweza kutenganishwa na mtazamo wa chama ikiwa msemaji anayetambulika kisheria ni Rais wa chama.View attachment 920352
Leo wamejua hilo... Useless.
 
FATMA KARUME NI SHUJAA!

KAZUNGUMZA JAMBO AMBALO WANAFIKI WENGI WANALIKWEPA NA KULIKIMBIA LAKINI KUMBE NI WASHIRIKA WAZURI WA UFIRAUNI.

WATU WAWILI WENYE AKILI ZAO WAKIAMUA KUTIFUANA VYUMBANI HUKO INAKUUMA NINI!?
Wanaleta hayo mambo mpaka mtaani na wengine kupost video kabisa
 
Kaka muache mzungu aendelee kwenye kila kitu kwa sababu kaachana na mambo ya kufikilika eti dhambi? Wamefika point hata dini hawaamini wanafanya vitu vya kuonekana sio vya kufikilika ukija huku Tz unakuta GWAJIMA ana lundo la watu(waumini) anawadanganya kuwa kila kitu watakipata kwa YESU huku yeye akitaka Gari aina ya HAMMER anaenda kununua U.S.A kwa nini asimsubilie Yesu kumshushia kutoka juu mbinguni.
MISUKULE WANACHUNWA TU WALA HAWASHTUKI.

HAYA MADINI UCHWARA YAMEBAKI TU HUKU KWA WATU MBUMBUMBU WANAOISHI KWENYE BARA LA GIZA NA WANAOAMINI KATIKA MAADILI FEKI YA KUFIKIRIKA.

WHAT IS MAADILI YA KITANZANIA! DUH. Hahahaahaa
 
MISUKULE WANACHUNWA TU WALA HAWASHTUKI.

HAYA MADINI UCHWARA YAMEBAKI TU HUKU KWA WATU MBUMBUMBU WANAOISHI KWENYE BARA LA GIZA NA KUAMINI KATIKA MAADILI FEKI YA KUSADIKIKA.

WHAT IS MAADILI YA KITANZANIA! DUH. Hahahaahaa
Mtu(mwanaume) ana mihemko ya kike wewe unamfunga jela ili ugundue nini sasa.Na je ukimfunga ndo dawa? je kuna mambo mangapi ya msingi umeyashupalia ambayo yanaleta kero kwa wananchi wako mpaka uone una muda wa ziada ku kudeal na maisha binafsi ya mtu? Anyway li nchi letu sijui linaelekea wapi?
 
USHOGA KAMWE HAUWEZI KUWA TISHIO MAHALI POPOTE DUNIA.

WE ARE FIGHTING A WRONG ENEMY. A HYPOTHETICAL ENEMY.

MTU AKIAMUA KUNYONYA DUSHE LA DUME LENZAKE HUKO KWANI KUNA ATHARI GANI?

WAKIAMUA KUBANDUANA KWA HIARI YAO HUKO VYUMBANI WAKAJIFUNGIA KWANI SHIDA NI NINI?

SIO KAZI YA VYOMBO VYA DOLA KUSIMAMIA MATUMIZI YA MIILI YA WATU.
 
Leo ndo mmetambua kwamba huyo Mwanamke siyo kichwani?

Chadema wamewaingiza choo cha kike bado zamu ya Mangi Kimambi kuwaanika pia.

Mimi tangia siku mlipomchagua niliwashangaa sana, Wanasheria mnawezaje kukubali kuongozwa na mtu less intelligent namna hii?
Maandishi gani ya ofisi kwa umma yasiyokuwa na muhuri wala saini ya mwandikaji?
 
Ila rais wa nchi akitoa mawazo yake binafsi huwa mnayachukulia kama ya rais wa nchi na ya chama tawala.
HATUDANGANYIKI, HILO NI TAMKO LA TLS TENA LIMETOLEWA NA RAIS WAKE KUTILIA UZITO.
Maandishi gani ya ofisi kwa umma yasiyokuwa na muhuri wala saini ya mwandikaji?
 
Salamu mbele!

Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema maoni na mitazamo yanayotolewa na wanachama au viongozi wa TLS kwenye akaunti zao binafsi siyo mtazamo wa chama hicho.

Kauli hii ya TLS inakuja ikiwa ni siku mbili toka Rais wa chama hicho cha wanasheria wasomi kutangaza kupitia akaunti yake ya twitter kuwa anaunga mkono na kusapoti haki za wapenzi wa jinsia moja nchini au mashoga. Swala hilo lilizua mkanganyiko na mtanziko huku wengine wakiuhusisha mtazamo huo na mtazamo wa TLS.

Hata hivyo kumekuwepo na mkanganyiko juu ya iwapo maoni ya Rais wa chama hicho yanaweza kutenganishwa na mtazamo wa chama ikiwa msemaji anayetambulika kisheria ni Rais wa chama.View attachment 920352
Huo mkanganyiko naona ulikua wa kwako peke yako mana mtu mwenye akili timamu atajua tu yale yalikua yeke binafsi ila sio ya chama
 
Liko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe Raisi wa TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLS
Naona umenogewa unaanza kukata miuno
 
Kwahiyo mh Rais Magufuli akiandika kwenye account yake ya Twitter ni ya kwake binafsi?
 
Back
Top Bottom