I knew this post would be your justication.You are ignorant.
Here’s a little education for you.
Naungana na ww kiongozi hakuna wakati Rahisi Magufuri akitoa neno popote pole au wakati wowote ule tuseme ni Mambo yameingiliana binafsi wala sio kama Rahisi hivyo ndivyo huwezi kutenganisha alixhosema Shangazi kuwa ni binafsi wakati ni Raisi wa TLSLiko wazi kwa nani? Raisi Magufuli akiwa Raisi matamko yake 24/7 ni ya Raisi Na official iwe account yake binafsi ya Twitter , Instagram , Facebook nk Tamko hili la TLs ni feki .Raisi hawezi kuwa na matamko binafsi popote iwe Raisi wa TLS au Magufuli nitakutukana matusi ya nguoni wewe bwege.shenzi type.Raisi wa TLS hawezi kuwa na matamko binafsi to hell with her and TLS
I knew this post would be your justication.
I can't allow such nonsense before my eyes!
I rest my case!
JF watakupa kifungo cha miezi minneMalizia tu kusema mku.ndu ni wake
Huyo ni mgombea mwenza wa Lowasa 2020. Cdm ni wataalamu wa kupiga deki. Watampiga deki hadi atakate.Fatma Kama mwanamke hakupaswa kabisa aunge mkono vitendo vya kishoga.
Ni aibu kabisa kwa Mwanamke kuunga mkono ushoga.
Angekaa Kimya asingepata aibu anayoipata na itakua ni aibu ya kudumu mana hata maisha yake ya baadae ameyatia doa kwenye jamii.
Hivi angesema tu kistarabu kuwa hatuungi mkono ushoga mana ni kinyume na sheria zetu na mila zetu na dini zetu ,lakini pia tunapenda watendewe haki bila mtu kuonewa au kusingiziwa ,taratibu za ukamataji zitumike na wasihukumiwe nje ya mahakama.
Kauli kama hii ingetosha kabisa kuonyesha busara za mtu maarufu kama Fatma na angeishia hapo.
Defending homos publicly?What case are you resting when you have none?
You are just running away because you know you can’t debate the facts.
Kwenye hili hata yule mgonjwa wetu maarufu kule Ubelgiji kanyamaza kimyaFact
Mbona hatumii jina la mumewe?
Yaani ni ushamba au sijui ni ukichaa kujaribu kuwaaminisha watu kuwa kiongozi wa taasisi fulani hawezi kutoa maoni binafsi! Yaani akitoa maoni binafsi lazima yawe ni maoni ya taasisi? Kama ni hivyo ibara ya 37 (2) ya katiba ya JMT inatakiwa kutekelezwa kama yalivyokuwa mapendekezo ya ZZK.Hapana nachelea kuamini kuwa Rais anakuwa na maoni yake binafsi...
Huo ni msimamo wake huenda pia........Nadhani wangemkana na huyo Mmama,ingekuwa bora sana.
wamekana sawa,nini maoni yao kama chama kuhusiana na kiongozi wao?,wanasapoti au la,
Hakuna kilichonuka,upotoshaji wa vijana wa lumumba ndio umesababisha tafsiri iwekwe sawa!Huenda aliyeandika ufafanuzi huu ni Fatma Karume mwenyewe!kimenuka
Kaandika Fatma Karume mwenyewe kuwaelimisha wapotoshaji!Nadhani wangemkana na huyo Mmama,ingekuwa bora sana.
Anamume na mtoto wa kike mmoja mkubwa tuShangazi ana mambo mengi anaweza kuwa hana pamoja kwamba umri umemtupa mkono naona gym anayoenda inamsaidia