TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

Who you *** or who fcuks you is none of my business.

What part of that don’t you understand?

It’s not rocket science for God’s sake!!

It is my business bro.
Social studies suggest that behaviors of people affect others too..
 
Ukimpa mtu mjinga akuongozee taasisi nyeti kama hii basi ujiandae siku moja kuwa uchi uyo bib ukiyafuwatilia maisha yake unaweza kujiuliza nini kimeikumba tls. Kiufupi hafai hafai hata kwa kumosha kwa acid hafai hafai ila taifa letu na vijana wetu hawajawahi shindwa BlackBerry huyu nizam yake kuaibika na kutuachia tls yetu arudi zanz kuhamasisha ushoga
Well said walahi
Wamtimue tu walahi
 
Swafiiii sana, wamtimue huyo bibi, hafai kuongoza hata sisimizi walahi
 
Kama mtu ni maoni yake kwa nini huwa tunahusisha na haya mambo?😀😀
 
Homos are humans who operate unnaturally..
Indeed
Hakuna kiumbe chochote duniani chenye uchafu huu kama sio binadamu ambao madish yamepinda walahi
 
Hiyo ni sheria yetu that's way we put it in our constitution.

Exactly walahi
Kama hawataki wahamie San Francisco kwenye kinara chao walahi
Watuachie nchi yetu Tanzania, kama ni ushamba basi tubaki nao mpaka kufa walahi
Mola ongoza vizazi vyetu walahi uwiii
 
Hii TLS imezidi harakati had sasa inakuwa si chombo cha heshima. Huyo fatma naye awe makini na kauli zake tata
 
Anaaibisha familia ya Karume, bora anyamaze kimya.
Au Zanzibar suala la Amber ni kawaida.?
Asituharibie Chama chetu, TLS, chenye wazanzibari wazuri kama schoolmate wangu Hon. Agustine Ramadhani
Fact
Mbona hatumii jina la mumewe?
 
Salamu mbele!

Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema maoni na mitazamo yanayotolewa na wanachama au viongozi wa TLS kwenye akaunti zao binafsi siyo mtazamo wa chama hicho.

Kauli hii ya TLS inakuja ikiwa ni siku mbili toka Rais wa chama hicho cha wanasheria wasomi kutangaza kupitia akaunti yake ya twitter kuwa anaunga mkono na kusapoti haki za wapenzi wa jinsia moja nchini au mashoga. Swala hilo lilizua mkanganyiko na mtanziko huku wengine wakiuhusisha mtazamo huo na mtazamo wa TLS.

Hata hivyo kumekuwepo na mkanganyiko juu ya iwapo maoni ya Rais wa chama hicho yanaweza kutenganishwa na mtazamo wa chama ikiwa msemaji anayetambulika kisheria ni Rais wa chama.

TLS.PNG
 
Back
Top Bottom