TLS Chama cha Mawakili Tanganyika rasmi kimetekwa nyara na Mhimili wa Serikali Kuu

Hapa makamanda uchwara wote midomo ya kunywea mbege na kuvuta bangi iko chini kwa Aibu.

Huyo mstaafu Rais wa TLS ameoa mchagga, sasa sijui mchagga Ni kada wa chama cha mbowe🤣🤣🤣

Wafuasi wote walipewa AMRI MOJA ya kumpigia kampeni, sasa wore kinyaaaaa.

Mimi nikiwaambia vijana punguzeni umsukule, vichwa kama maboga tu mnafugia nywele🤣🤣🤣🤣

View attachment 2105599
Kwahiyo alioa mchaga baada ya kuwa rais wa TLS au alioa mchaga ili awe rais wa TLS?
JF imekosa GT's imeingiliwa na wabakaji hoja.
 
Kwahiyo alioa mchaga baada ya kuwa rais wa TLS au alioa mchaga ili awe rais wa TLS?
JF imekosa GT's imeingiliwa na wabakaji hoja.
Kuwa na mke mchagga ndiyo sababu kubwa iliyopelekea yeye kupigiwa kampeni na chaggadema yote awe mwenyekiti wa TLS.

Maslahi mbele
 
Hujanielewa. Rudia kusoma nilichoandika.
Mataifa yote ambayo yalikuja kupata matatizo makubwa ya vita,mgawanyiko katika Taifa na kadhalika yalilea ujinga kama unavyofanya hapa.

Juzi juzi amehamasisha ufisadi katika Serikali yake then wajinga ambao ndiyo wengi katika Taifa hili wakaibuka na kumtetea pia.Nakuhakikishia kuwa hakuna hata chembe ya ujinga ambaya itaacha kulipwa kwa gharama kubwa.Hiyo ni universe law wala siyo maoni yangu.Endelea kushupaza Shingo.
 
Mnashtuka leo hata Lisu hakugundua kumweka kada halikuwa jambo zuri. Wanasheria mmezimwa jumla poleni.
 
Mataifa yote ambayo yalikuja kupata matatizo makubwa ya vita,mgawanyiko katika Taifa na kadhalika yalilea ujinga kama unavyofanya hapa.

Juzi juzi amehamasisha ufisadi katika Serikali yake then wajinga ambao ndiyo wengi katika Taifa hili wakaibuka na kumtetea pia.Nakuhakikishia kuwa hakuna hata chembe ya ujinga ambaya itaacha kulipwa kwa gharama kubwa.Hiyo ni universe law wala siyo maoni yangu.Endelea kushupaza Shingo.
Watu kama wewe huwa mnanyamaza kimyaa mnapopewa nafasi kubwa serikalini. Huku kuongeaongea mara nyingi ni dalili za kuwa na uhitaji wa nafasi au teuzi.
 
02 February 2022
Dodoma, Tanzania

SIKU YA SHERIA

Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la Wakili House jijini Dar es Salaam walilolijenga kwa juhudi zao kama wanataaluma ni hatua mojawapo ya kujitumbukiza ktk kibano cha mhimili wa dola.


Source : Wakili TV

TLS kuwa omba omba kiasi sasa serikali leo tarehe 2 February 2022 TLSkutambuliwa na serikali kuwa TLS hii siyo ile iliyokuwa huru chini ya viongozi madhubuti kama kina Tundu Lissu, Fatma Karume, Dr. Rugemeleza Nshala, Rwechungura kwa kuwataja kwa uchache haliopigania TLS kuendelea kuwa huru.

Mwaka 2020 mwezi January serikali ilianza zoezi la kuizonga na kuimaliza pumzi ya TLS kwa kuwasilisha muswada ulipingwa na kambi ya upinzani bungeni na wadau wengine watetezi wa uhuru

Strong reactions greet Tanganyika Law Society new law​

Thursday January 30 2020​

Dodoma. Parliament has passed a law through the government Miscellaneous Amendments Act, which among other things, ‘curtails’ Tanganyika Law Society (TLS) autonomy.

Under the Bill, which was tabled in Parliament on Tuesday evening by Attorney General Prof Adelardus Kilangi, the government will have a mandate to appoint its representatives to the TLS annual general meeting, where important issues about the Bar including the election of the association president, are made.

If the Bill is assented to by President John Magufuli, then Constitution and Legal Affairs minister will also have powers to appoint government representatives in TLS meetings.

The Bill drew strong reactions from Opposition lawmakers, who argued that the Bill was passed in order to restrict TLS and lawyers’ powers.

Some of the MPs, who spoke during the debate, claimed that the Bill was tabled in order to impose the Executive powers on the Judiciary.

Parliament also turned down some of the recommendations from TLS, which included extension of president’s tenure to three years. Currently, TLS president’s tenure expires after a year READ MORE : Strong reactions greet Tanganyika Law Society new law

TLS ni chama cha kitaaluma sio cha cha kisiasa au cha kufanyia harakati kupinga serikali ilioko madarakana. Hao kina lissu na fatma karume ndio walijaribu kukiteka kiwe cha wapinzani ila wakafeli.
 
Back
Top Bottom