Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

MTN ndomtandao makini unaoongoza kwa huduma nzuri africa........hii mingine hii waiziiiiiii
 
University offer ya halotel na ya tigo zinafanana
Advantage ya tigo ni kwenye mins
ukijiunga halotel unajifunga mana mpka umpate halotel mwenzio ni shida
 
Sasa unapata dk 100 , 10mb na SMS 100. Tigo hawajajua kuwa walipiga pesa kwa mb na sms. Sasa jiandaen kukimbiwa
 
Ni muda sasa wa kukjinga na halotel,hizo shida zote hazip😵fa ya halotel kwa mwanachuo ni kuntu.....
 
University offer ya halotel na ya tigo zinafanana
Advantage ya tigo ni kwenye mins
ukijiunga halotel unajifunga mana mpka umpate halotel mwenzio ni shida
kwani hizo mins za tigo unawapigia wa mitandao mengine? ww hamia halotel na mwenzio ahamie halotel
 
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.
Wizi unatoka wapi tena wakati kifurushi kinaonekana kabla hata hujajiunga? Ingekuwa unaambiwa Gb moja kabla then ukishajiunga ndo unapewa mb 500 kweli huo ungeitwa wizi
 
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.

Halafu hizo 500 zenyewe hawazitumii sanasana zinaishia kusubiria na kusearch....tigo ni mwiba
 
Nilinunua bundle ya chuo ya tigo ya week. Nikapewa mb 500 ambazo zitaexpire kesho, lakini mpaka sasa nimeweza kutumia mb 88 tu! Nipo dom, yaani speed ni karibia na ziro! Mpaka najiuliza kwa nn wasiache tu kuuza mb? Ni useless, halotel ni noma.... Ukigusa imo" njia yote kutoka dar mpaka arusha unatumia net bila shida, wakati narudi nilipita njia ya kati, babati nikapumzika kondoa...hakuna mtandao wenye speed ya hatari ukiwa kondoa kama halotel! Mitandao mingine nimetumia sana, hapa itabidi tu nitulie" ila wangeweka bundle ya kupiga mitandao yote kwa bei nafuu wangeteka na soko la voicecall.
 
mkuu intanet ya tigo na halotel ni tofauti,,,intanet ya halotel iko bomba sana
nna line zote hzo mbil
Kwa eneo nililopo tigo iko fasta zaid ya halotel
Nikitoka nje ya mji ndo huwa natumia halotel
 
Back
Top Bottom