Mb 30 ndo upuzi ganiNjoeni halotel jaman mbaka raha mi nilipo hamna hata chuo lakin bando la chuo najiunga
Na hao nao walewale...Cjui kwann mnawasifia....wamiliki wa mitandao hukaa vikao na kupanga bei....zamani Zantel walikua na bei nafuu kwenye bando siku Hz nao wameota mapembeWanajua vyuo vimefungwa. Nakushauri hamia hallotel!
Siyo ajab coz wenyewe waliingia kwa gia ya kuboresha mawasiliano vijijiniNilinunua bundle ya chuo ya tigo ya week. Nikapewa mb 500 ambazo zitaexpire kesho, lakini mpaka sasa nimeweza kutumia mb 88 tu! Nipo dom, yaani speed ni karibia na ziro! Mpaka najiuliza kwa nn wasiache tu kuuza mb? Ni useless, halotel ni noma.... Ukigusa imo" njia yote kutoka dar mpaka arusha unatumia net bila shida, wakati narudi nilipita njia ya kati, babati nikapumzika kondoa...hakuna mtandao wenye speed ya hatari ukiwa kondoa kama halotel! Mitandao mingine nimetumia sana, hapa itabidi tu nitulie" ila wangeweka bundle ya kupiga mitandao yote kwa bei nafuu wangeteka na soko la voicecall.
Tigo siyo kabisa, hata vifurushi vyao siyo halisiTuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa 1500 kwa wiki sasa ni 500MB tu na sekunde 9000.
Uzuri wenu hiyo offer ilikuwa kimya kimya hamuipi promo.
Kuna lain special zna offer za university ambazo unajiungia sehem yyteMb 30 ndo upuzi gani
Njoo nikuuzie line ya university ya halotel bila hiyo hupati hicho kifurushiUnajiungaje mkuu?
Mkuu kwani vyuoni si nitapata? Nafundisha chuo flan hivi ntanunua huko.Njoo nikuuzie line ya university ya halotel bila hiyo hupati hicho kifurushi
hizi wanauza mtaani,kabla ya kununua ulizia kama ni ya chuo,wanamuuzia yeyoteNisaidie Mdogo wangu niipate maana hii imekuwa kasheshe!!
Ahaa... Shukrani mkuu.hizi wanauza mtaani,kabla ya kununua ulizia kama ni ya chuo,wanamuuzia yeyote