Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Umeona eeh? Internet iko fasta na wiki iliyopita naangalia salio MB zilikua nyingi hadi ikabidi nizichezee youtube ziishe.
Sehemu nyingi hao airtel mtandao wao uko slow sana mapaka unajuta kwa nini umejiunga!! Ila haya makampuni ya simu ni wezi aiseee!! TCRA manina zao nao wapo tu huku wananchi tunaumizwa!
 
Umeona eeh? Internet iko fasta na wiki iliyopita naangalia salio MB zilikua nyingi hadi ikabidi nizichezee youtube ziishe.
Sehemu nyingi hao airtel mtandao wao uko slow sana mpaka unajuta kwa nini umejiunga!! Ila haya makampuni ya simu ni wezi aiseee!! TCRA manina zao nao wapo tu huku wananchi tunaumizwa!
 
Hahahaaa,pole mkuu ila mimi nilipo net iko juu na faster sana.
 
Tigo wakiboresha wilaya kwa kuweka 3G Mikoani waweke 4G watakimbiza sana
 
Hahahaaa,pole mkuu ila mimi nilipo net iko juu na faster sana.
nifah hivi we haizingui kupiga simu wasapu kwa wasapu? mi mara upande wa pili kapokea mi kwangu bado inaonyesha inaitaa tu, wakati mwingine napokee inakataa ku-respond, au sometimes inagoma kabisa kupiga, yaani full kero hadi nimeacha sasa kupiga kwa whatsApp
 
Last edited by a moderator:

Kiukweli kabisa mimi sio mpenzi wa kuongea.Napenda chatting tu.
Na ikitokea hivyo basi ujue nitapiga kawaida.Hiyo WhatsApp hata situmii kupiga sana.Na hata nikipigiwa siku zote hua wananikosa nina missed call za kufa mtu lakini sijawahi kuwa call back.
 
Okay, asante nimekuelewa vizuri aisee
 
Kiukweli kabisa mimi sio mpenzi wa kuongea.Napenda chatting tu.
Na ikitokea hivyo basi ujue nitapiga kawaida.Hiyo WhatsApp hata situmii kupiga sana.Na hata nikipigiwa siku zote hua wananikosa nina missed call za kufa mtu lakini sijawahi kuwa call back.

Hahaaa wee kiboko
Mi tungekuwa tunagombana kila siku kwa huo uvivu WA kupiga na kupokea
 
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.

Umeona eeh
Eatel ndo baba Lao tigo na voda wezi
 
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.

Kajiunge leo huko airtel uone habari yake! hakuna pa kutokea kwa sasa, mgema kasifiwa tembo kalitia maji!!
 
Hahaaa wee kiboko
Mi tungekuwa tunagombana kila siku kwa huo uvivu WA kupiga na kupokea

Unaanzaje kugombana na mimi?Najishusha na kuomba msamaha hadi hasira zote zinayeyuka..lol
Ila aisee mimi ni mvivu wa kuongea acha tu.
 
Kajiunge leo huko airtel uone habari yake! hakuna pa kutokea kwa sasa, mgema kasifiwa tembo kalitia maji!!

Hahahaaa,wewe nae kausha basi? Kweli mgema kasifiwa basi tembo kesalichakachua halinogi tena.
Ila 2000 sio issue kwangu as long as net iko juu na faster.
 
Airtel manina zao, bora hii ya Tigo buku jero unapata na dk za maongezi
 
Kiukweli kabisa mimi sio mpenzi wa kuongea.Napenda chatting tu.
Na ikitokea hivyo basi ujue nitapiga kawaida.Hiyo WhatsApp hata situmii kupiga sana.Na hata nikipigiwa siku zote hua wananikosa nina missed call za kufa mtu lakini sijawahi kuwa call back.

Du hebu tuma namba in box tuchart kwanza
 
Utatolewa tezi dume ndugu yangu ushindwe kushangilia Yanga tukichukua ubingwa. ..ohoooo.
Wengine sisi wake za watu na waume zetu wapo hukuhuku.
 
Na bado nyie raia na wafanya kazi mwisho wenu umefika
 
Hahahaaa,wewe nae kausha basi? Kweli mgema kasifiwa basi tembo kesalichakachua halinogi tena.
Ila 2000 sio issue kwangu as long as net iko juu na faster.

Huko huko au vipi! heri kufa kuliko kufariki!
 
Na bado nyie raia na wafanya kazi
 
Attachments

  • 1429967629712.jpg
    1429967629712.jpg
    78.2 KB · Views: 111
Back
Top Bottom