Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Ndugu umenielewa vizuri kweli au umekurupuka tu? Nimesema nikishapata hizo mb 800 hata hizo sekunde ambazo ndio dakika sina shida nazo maana mb nitatuma sms na kupiga simu through WhatsApp.
sasa unacholalamikia kifurushi ni nini wakati ni mb 800 bila air time? Halafu kumbe we ni mdada?
 
sasa unacholalamikia kifurushi ni nini wakati ni mb 800 bila air time? Halafu kumbe we ni mdada?

Wewe una wazimu eeh? Maana tokea mwanzo nimekujibu kistaarabu sasa naona unazidisha.
Ni wapi nilipolalamika? Kwani mimi natumia huo mtandao wa kipuuzi tigo?
Kama wewe ni mfanyakazi wa Tigo na umekasirika ninavyowaponda huku jikate zako.
 
Natizama kwa makin
 
Hii mitandao inavyofanya ni kubalance wateja then ije kuwa kitu kimoja na kuwaumiza wateja washindwe kua na option ya pakukimbilia nilishawekaga thread moja ya kwamba hii mitandao haifanyi biashara huria bali wanakaa na kudiscuss then wanaongeza gharama wote kwa pamoja na Mh. January akasema atafuatilia sasa cjui ndo anafuatilia lakin mods waliitoa harakaharaka hata hikujadiliwa
 
Polenii jana wameanza kusajili wanafunzi soon hamtaweza kujiunga tena km hamjasajiliwa
 
Piga *148*88# mkuu wanakuletea menu wewe chagua kifurushi cha MB 800 kwa wiki kwa elfu moja tu!
Hicho hakuna cha university wala primary jiunge kokote hata shimoni..lol

Mbavu zangu mie jembe la afrika
 
Wewe una wazimu eeh? Maana tokea mwanzo nimekujibu kistaarabu sasa naona unazidisha.
Ni wapi nilipolalamika? Kwani mimi natumia huo mtandao wa kipuuzi tigo?
Kama wewe ni mfanyakazi wa Tigo na umekasirika ninavyowaponda huku jikate zako.
Ustaarabu unaujua wewe? Pandisha mashetani sasa
 
Ustaarabu unaujua wewe? Pandisha mashetani sasa

Wewe ndiye unayeujua? Hayo mashetani yako uliyokua unayapandisha nikakujibu kistaarabu bado ukaendelea tu umeshayashusha?
 
Labda kafkiri unafanya kazi airtel na ivi profile yako ni full red basi shida tupi

Hahahaaa,mimi ni satisfied customer tu.Nimefurahia huduma za airtel hivyo sina budi kuwapongeza na kuwasifu.Anayeumia na aumie tu.
 
tatizo mitandao yote washatuona watanzania km mazuzuuuu, gharama ziko juuu sana compare na nchi zingine.
 
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.

Naaapa eeeh, eeeeeeh. Nahamia airtel choka huu usanii wa tigo.
 
Airtel wamepandisa bando dea lile la 800 saiv ni 2000 unapata GB 1 tuu

Eti wasemaje? Bado nina bando linaloisha keshokutwa ngoja nitacheki.
Kama ndio hivyo watakua wanazingua sasa.
 
Back
Top Bottom