William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Una uhakika mheshimiwa au tukubandikie majabizano yake na wakubwa zake hapa? The fuss is that Tido still needed the job and performed exceptionally and professionally well. It is simply ludicrous to compare his departure with Oprah's as their contexts of departure are completely different!!
- Majibizano ya ajira ya Tido na Waajiri wake, si yanalindwa sheria sasa wewe mkuu uliyapataje? Sasa hapo ndipo mlipoharibu sana na kuishia kuingiza hii ishu kwenye siasa, wakati ni ishu ya ajira tena ishu ndogo sana, kwanza pia angalia njia iliyomfikisha Tido hapo TBC, ndio utaelewa kwa nini kwenye kuondoka mwendo ulikuwa ni ule ule alioingilia!
- Oprah na Tido, wote ni wanahabari walioajiriwa kwa mkataba wa kisheria ambao kila unapoisha waajiri wao wana haki ya kuuongeza au kuufuta hamna siasa hapo kabisaa, unless kama Tido alikuwa akijihusisha na siasa, maana how could majibizano yake na waajiri wake yakawa nje?
- Ingawa pia the big question ni kwamba Tido alifikaje kule TBC? Au ndiyo yale yale ya Ulimwengu na Mkapa?
Willie @ NYC, USA.