Tido Mhando aula Al Jazeeera

Tido Mhando aula Al Jazeeera

Serious, kama ni kweli cong kwa watanzania wote wapenda maendeleo na wapenda mageuzi, Cheers!!
 
Achana na masuala kidini bwana yani dic time we bado una fikiria udini2 kwani watangazaji wote wa Aljazeera ni waislamu?au wote ni waarabu?embu tujitahidi kuepuka kuzungumzia haya masuala ya udini.
 
Hongera TIDO if this news is true. But take this honesty opinion from me ili usije ukarudia tena makosa pale ulipowachezea CCM na wakakutimua " You knew what you were doing against System/CCM and you got exactly what you were looking for" You never ever do it again...
 

Yatakuwa Kenya Nairobi.

Jamani jana si tumepitisha sheria ya kuondoa kodi kwa wawekezaji ili kuwavutia wawekeze Tanzania. Tanzania amani tele, kodi zero sasa inakuwaje tena hawa wanaenda Kenya au si wawekezaji?
 
- People, please suala la Tido na TBC lilikuwa ni la ajira na sio siasa, ni mambo madogo madogo kama haya ndio yanaturudisha nyuma sana hili taifa na huenda ni kwa sababu ya umasikini zaidi kwa sababu kazi yoyote unayoipata kwa ajira ya mkataba, maana yake ni kwamba mkataba ukiiisha umeisha ni uamuzi wa muajiri wako kuamua kama atakuongeza muda au hapana na wewe muajiriwa unatakiwa kuwa umejitayarisha kubaki au kuondoka!

- Tanzania tumezoea hisia za kuhamia kabisa kwenye kazi tulizoajiriwa kwa mkataba na kuamini kwamba ni zetu na ni lazima waongeze tu mkataba ukiiisha, hapana people waajiri wako wana haki kisheria kwenda njia tofauti kama wanaona hauko sawa na line yao ya sababu za kuwepo kwao kwenye biashara, inatakiwa kuwa kawaida sana hiyo na nothing to do na anything, Tido who is my very good friend, aliajiriwa na TBC kwa mkataba ambao uliiishia kwenye ku-renew, waajiri wake wakasema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti, sasa what is the problem hapo?

- I mean kwa mwendo huu Tanzania, itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, umeona juzi Oprah, mkataba umeisha na ABC, ameamua kwenda njia yake mwenyewe badala ya kulilia kupewa mpya, ndio maana ya mkataba Lebron, mkataba ulipoisha na Cleveland, akaamua kwenda The Heat, ndio maana ya mkataba wa ajira, TBC hawakumkosea Tido na wala Tido mwenyewe hajawahi kulalalmika kwamba amekosewa!


- So what is the fuss for?

Willie @ NYC, USA.
 
Kwa utawala uliopo kuwa na uwezo, akili na maadili ni tatizo. Huwezi ku-survive ukiwa na hivyo vitu. Inabidi mashariki uione magharibi na nyeusi iwe nyeupe. Hongera sana ndugu Tido, kawafanyie kazi hao wanaohitaji ujuzi. TBC ulioiasisi ndiyo hiyo tena inaishia na kuifuata ATC kwa haraka ile mbaya!!
 
What appears to be the end, may really be a new beginning
 
Hongera TIDO if this news is true. But take this honesty opinion from me ili usije ukarudia tena makosa pale ulipowachezea CCM na wakakutimua " You knew what you were doing against System/CCM and you got exactly what you were looking for" You never ever do it again...
Ndugu ondoa hofu hofu hii habari ni al jazeera halisi sio tbc!
 
Huwezi amini lakini hiyo ndo habari! Tido ameukwaa ukurugenzi wa al jazeera chanel ya kiswahili!

Namtakia kila la kheri kwenye kazi yake mpya

Mungu amlinde na kumuongoza

MTM
 
- TBC hawakumkosea Tido na wala Tido mwenyewe hajawahi kulalalmika kwamba amekosewa!

Willie @ NYC, USA.

Una uhakika mheshimiwa au tukubandikie majabizano yake na wakubwa zake hapa? The fuss is that Tido still needed the job and performed exceptionally and professionally well. It is simply ludicrous to compare his departure with Oprah's as their contexts of departure are completely different!!
 
Huku KASILIMU lini?

Al Jazeera ni TV ya waarabu WAISLAM sasa huyu tido najiuliza kasilimu lini au ndio udini mpaka AL JAZEERA?

Team ya Manchester City inamilikiwa na Mwarabu Mwislam; Kocha wake ni Mwarabu Mwislam, Dr. wa team ni Mwarabu Mwislam na wachezaji wote wa team ni Waarabu Waislam!! Nani anabisha?
 
Kwa utawala uliopo kuwa na uwezo, akili na maadili ni tatizo. Huwezi ku-survive ukiwa na hivyo vitu. Inabidi mashariki uione magharibi na nyeusi iwe nyeupe. Hongera sana ndugu Tido, kawafanyie kazi hao wanaohitaji ujuzi. TBC ulioiasisi ndiyo hiyo tena inaishia na kuifuata ATC kwa haraka ile mbaya!!


Si kweli habari hii imepikwa hapa kama zilivyo habari nyingine, mwenyewe hajui hiyo offer.
 
habari kama hizi pelekeni Jukwaa la Celebrities. Huyo Thido na Siasa wapi na wapi? Toeni ulevi hapa

Laana hutolewa na watu na kuidhinishwa na muumba. Ukiona watu wanakusema vibaya, maana yake wanakushitaka kwa muumba na mara akikubali mashitaka yao, laana inakuandama. Naona wewe unakaribisha laana.
 
- People, please suala la Tido na TBC lilikuwa ni la ajira na sio siasa, ni mambo madogo madogo kama haya ndio yanaturudisha nyuma sana hili taifa na huenda ni kwa sababu ya umasikini zaidi kwa sababu kazi yoyote unayoipata kwa ajira ya mkataba, maana yake ni kwamba mkataba ukiiisha umeisha ni uamuzi wa muajiri wako kuamua kama atakuongeza muda au hapana na wewe muajiriwa unatakiwa kuwa umejitayarisha kubaki au kuondoka!- Tanzania tumezoea hisia za kuhamia kabisa kwenye kazi tulizoajiriwa kwa mkataba na kuamini kwamba ni zetu na ni lazima waongeze tu mkataba ukiiisha, hapana people waajiri wako wana haki kisheria kwenda njia tofauti kama wanaona hauko sawa na line yao ya sababu za kuwepo kwao kwenye biashara, inatakiwa kuwa kawaida sana hiyo na nothing to do na anything, Tido who is my very good friend, aliajiriwa na TBC kwa mkataba ambao uliiishia kwenye ku-renew, waajiri wake wakasema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti, sasa what is the problem hapo? - I mean kwa mwendo huu Tanzania, itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, umeona juzi Oprah, mkataba umeisha na ABC, ameamua kwenda njia yake mwenyewe badala ya kulilia kupewa mpya, ndio maana ya mkataba Lebron, mkataba ulipoisha na Cleveland, akaamua kwenda The Heat, ndio maana ya mkataba wa ajira, TBC hawakumkosea Tido na wala Tido mwenyewe hajawahi kulalalmika kwamba amekosewa!- So what is the fuss for?Willie @ NYC, USA.
Willie Tido mbona alilalamika, kuwa alikosewa, coz mkataba ulivyokuwa unakaribia kuisha serikali ilimuaidi inamuongezea mkataba, lakini anashangaa gafla anaambiwa mkataba hautaongezewa.
 
Tido alifanya makubwa hapo TBC, lakinii wenye TBC hawakuliona hilo, ameondoka Hiyo TBC imekuwa CCM tupu. hakuna jambo jipya hata yale malengo yaliyokuwa yamewekwa yamekuwa Ziiiiii, hakuna tena. Hata taarifa ya habri ni ccm tupu, bora tena ITV.
 
Back
Top Bottom