Tido Mhando aula Al Jazeeera

Tido Mhando aula Al Jazeeera

Tanzania tuna majembe lakini hatupendi yafanye kazi, Mfano Sita alifanya kazi yake vizuri kama spika akawakwaza wenye nchi, Tido alifanya kazi yake vizuri akawakwaza wenye TBC. Ingekuwa inawezekana mngesikia hata Sita kaukwaa Uspika nchi nyingine maana anaumudu lakini kazi yake hairuhusu kuifanya bunge la nchi nyingine

Hii ni habari njema sana kwa wapenda maendeleo Tido aliweza kuibadili TBC kuwa chombo cha kitaifa kisicho na fungamano la aina yoyote kiitikadi.
Kusema ukweli na nitaendelea kusema Nchi hii ni shaghalabagala kwa sababu ya magamba,ninarudia tunao wataalamu wengi wananyanyasika na kukandamizwa kwasababu tu wanamtazamo wa kimaendeleo,wataalamu wetu wazuri wanalazimishwa kuwa wanasiasa na kuwa waongo kisa kusaidia watawala wasifutwe kazi na wananchi.sasa ngoja tupige kila kona,ukombozi wa kweli umekaribia.
 
Mzee Tido km ni kweli basi kalamu yako imepata pa kutapikia wino...kwa kifupi hakuna wa kukufunga mdomo!
 
safi sanaaaa yaani when one door is closed
many more is opened nafrahi sababu
ccm walimletea magumash
wakati walimtoa kazini kwake
af wakampotezea kimujinimujini
hahahahahahahaaaaaaa
wakadhani yeye ni kilaza
hureeeeeeeeee
kumbe ana cv ya ukweli
c za kwao za kuungaunga
tetetetetetehehehehehe
imekura kwaoooo
 
Tatizo la tido na proffesional wengine kama yeye litaendelea kuwa pale pale.

Kwa nini TIDO asianzishe media house ya kwake badala ya kutegemea kuajiwa kila wakati na matokeo yake anatumia ujuzi,na nguvu zake kufanya investment kisha anafukuzwa kama mbwa.

Tazama Jeif koinange alikuwa Correspendent tu wa CNN afrika akafukuzwa kwa kashfa ya kubaka akaazishwa kutuo cha television kwo kenya kinatwa Kenya 24.Tazama Abdalah Majura kaanzisha redio FM dodoma.

Sasa hii tabia ya TIDO ya kutaka kufanyia watu,haitamsaidia maishani.
 
alikuwa kashkiwa chini asitimize wajibu wake
ndo mana walimdhalilisha magamba juuuu
 
hapo (red) ndicho kitu ambacho WaTZ wengi tumekosa! Sijui tatizo huu mfumo mbovu umeingia mpaka kwenye damu yetu!? Hii inatufanya hata kushindwa kuelezea vizuri limitations la 'failure' na 'success' ambapo (kama alivyosema Mh. Pinda) 3/4 wako maofisini tu wakitajirika kupita kiasi wakati vijana wengi (%?) wakiwa vijiweni kwa 'kisingizio' cha kutokuwa na kazi.
But all in all it is a good and positive move for Mr. Tido Mhando!
Tatizo la tido na proffesional wengine kama yeye litaendelea kuwa pale pale.

Kwa nini TIDO asianzishe media house ya kwake badala ya kutegemea kuajiwa kila wakati na matokeo yake anatumia ujuzi,na nguvu zake kufanya investment kisha anafukuzwa kama mbwa.

Sasa hii tabia ya TIDO ya kutaka kufanyia watu,haitamsaidia maishani.
 
Hongera zake, aliitwa nyumbani aendeleze inji akajitahidi kufanya hivo ikawa sio wakamtema naye ametimka ... kwa yaliyomkuta Tido inanipa shaka hata hao wataalamu wengine kurudi nyumbani kwa kuhofia yaliyomkuta
 
Kweli nimeamini watu wa &f wanafki, alivyong'olewa kila mtu alishabikia leo kila mtu hongera mhhh
 
kwanza pia angalia njia iliyomfikisha Tido hapo TBC, ndio utaelewa kwa nini kwenye kuondoka mwendo ulikuwa ni ule ule alioingilia!


- Ingawa pia the big question ni kwamba Tido alifikaje kule TBC? Au ndiyo yale yale ya Ulimwengu na Mkapa?


Willie @ NYC, USA.

Tido ni professional tunamkubali, lakini wengi hapa wamesahau jinsi alivyoingia TBC, na haikushangaza kuona alipotokea mlango uleule alioingilia.
 
Mlango mmoja ukifungwa Mlango mwingine unafunguliwa!!! CCM ya visasi imekula kwao!!
 
Ndo maana wahenga wakasema "Maskini ukimpa nyama ilo nona awagawie wenzie itamwozea mikononi!!"
 
Unapo sema huyu ni wa nini wenzako wanapanga huyu tutampataje na tutampata lini Kuna tetesi kuwa TIDO MUHANDO aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la utangazaji nchini TZ ( TBC) sasa anasimamia shirikala utangazaji la ALJAZILAR
 
Back
Top Bottom