Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu


Tatizo lenu hampendi kukosolewa. Mnadhani nyinyi ni Malaika. Kama viongozi wetu wangekuwa perfect nchi yetu ingekuwa impiga hatua kubwa. Kiongozi kuwa na nafasi serikalini hakumfungi kutoa mawazo yake baada ya kutoka kwenye hiyo nafasi. Tatizo la CCM wameweka presidency mbaya ili kuficha maovu yao ya huko nyuma.
 

NYIE NA BONGO ZENU ZA KUKU HAMWDZI MWELEWA. NYIE MNAELEWA UKAHABAH ZAIDI NDO MAANA MNACHUKIA WENYE AKILI. WEWE NA MWENYEKITI WAKO. MAKAHABAH
 
Nasemaje, kama unaishi kwa kuwachafua wanaosema ukweli kwa kujua kwamba hiyo serikali yako itamsumbua na hata kumtoa uhai basi malipo hayo yaharakishe umauti wako kwani huna faida duniani na hata ahera. Msiambiwe mkikosea? Jitafakari sana kwa kumbagaza huyu profesa nguli, mzalendo na mpendq haki.
Nakulaani kwa jina la Allah.
 
Kwa taarifa yako hata majaji wamefika mahali wamewachoka. Walitegemea mtaaagiza kwa kiwango fulani, lakini ikifika mahali hawana jinsi watoe maamuzi sahihi. Wao wanaona kabisa hamna hoja zenye mashiko mahakamani, lakini mnalazimisha waamue mtakavyo nyie. Yaani ni kama mnawadhalilisha na kudhalilisha elimu yao hadi wanaonekana vilaza, na toilet paper zenu. Yaani majaji wanalalamika waziwazi kwa watu wanaowaamini, japo nyie mnaona wanawaelewa. Wanachohofia ni nyie kuwateka, ama kuwaua, hivyo wanatii maagizo yenu kwa aibu na fedheha kubwa.
 
stori ndefu utamdanganya nani hapa???
 
.
 

Attachments

  • images (83).jpeg
    9.6 KB · Views: 1
  • images - 2025-10-27T103523.903.jpeg
    40.5 KB · Views: 1
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 1
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 1
  • images - 2025-10-27T103633.571.jpeg
    26 KB · Views: 1
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 1
  • images - 2026-03-01T095310.232.jpeg
    36.2 KB · Views: 1
  • images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    16.9 KB · Views: 1
  • images - 2026-03-01T095035.629.jpeg
    37 KB · Views: 2
  • images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    30.8 KB · Views: 1
Hivi watu duni kama wewe huwa mnaibuka toka wapi?

Huko mnakoibuka, kuna kiwanda cha kutengeneza misukule?

Mtu mwenye akili timamu utaanzaje kuandika upuuzi namna hii hapa na kusaahau kabisa hali mbovu inayoikabili nchi hii chini ya hao wanaowafuga nyinyi?

Ni aibu kiasi gani kutetea uovu unaoendelea ndani ya taifa hili chini ya mhalifu Samia?

Kwa vile tu ulifunzwa kusoma na kuandika, ikatosha kuandika upumbavu bila hata ya tafakari yoyote juuu yake?

Eti unajiita 'Irene Darton' wakati wewe ni mtwana tu wa hao wanaokutumia kama kikaratasi cha chooni..

Hopeless kabisa!
 
Kwamba na yeye apewe kesi ya uhaini?
 
Duh...!, hoja za Prof wa level ya kimataifa zinapojibiwa na machawa vilaza wa humu mtandaoni ambao hata kuweka the proper title ya Prof wa ukweli kwenye jina lake, ni moja ya majanga makubwa sana kwa taifa letu!.

Cc Prof Anna Tibaijuka

P
 
Mtizamo wa Prof. Tibaijuka ni sawa na ule wa Jaji Warioba, Balozi Polepole, Askodu Gwajima, Simbachawene, Dr. Nchimbi, ni wazi kuwa kuna tatizo kubwa ndani ya uwanda wa kisiasa hapa nchini hivi sasa.

Bunge haliaminiki, serikali na vyombo vyake vya dola ndiyo hata usithubutu kusema,, mahakama nayo imeingiliwa hivi sasa na wanasiasa na kukwepa kutenda haki ipasavyo.

Imefika muda hata kama makada muhimu wa CCM wakiamua kukaa kimya na kutosema ukweli hadharani, basi mawe yatakuja kupiga kelele ma kuuanika uovu wote wa watawala.
 
Mahakama huru ni ile inayozingatia haki pande zote mbili.Kesi inayohusu kosa moja kuchukua mwaka had I sasa ikiendelea kusikilizwa,maana yake nini?
 
Matako yako wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…