Weka iwe inakaa bafuniChumvi imenisaidia ila changamoto yangu ni moja. Kila nikipanga kwenda kuogea nasau naja kukumbuka nipo bafuni na malizia maji.
Mkuu nisiwe mnafiki chumvi ni balaaaIfanye kama tiba na sehemu ya maisha yako itakusaidia kutokusahau
Kaka isack dawa ya fangasi ulotumia n ipi maan inanxumbua sana kweny ulimiJe kwenye kuogea inafaa kuogea maji ya moto
Naomba msaada wa namba yakoKaka isack dawa ya fangasi ulotumia n ipi maan inanxumbua sana kweny ulimi
Izak bro nliekeze dawa ulotumia kutibu fangas ya ulimi inanisumbua sanaJe kwenye kuogea inafaa kuogea maji ya moto
Hongera my brother mshana kwa elimu hii unayotupatiaHaya mambo yanafanya kazi kwa kupitia imani ambapo lazima kuwepo na ufahamu fln utakaoungana na hiyo imani na imani lazima iungane na supernatural being...hakuna mtu duniani anayeishi nje ya kuamini kwake, hayupo na hatatokea.
Jr
Hii naona inabidi uianzishie maada kabisa, kuna mtu alinitumia huu Uzi yeye nuizia yake anasema tu "chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako, chumvi una nguvu Fanya kazi yako" nikamwambia ndivyo Mshana alivyoandika???, anasema Mshana alisema tunuizie tu
Haya maneno tunaweza kuyapata kwa mtiririko kama huu wapi, jinsi gani ya kuya google.....Dada zetu wasije anza kunuiza chumvi ni nyeupe......nifanye niwe mweupe bila kalo laiti
Nikachimba na kuvifukia chini ya ardhi vifuko vya chumviJe nikiiweka kwenye vifuko vya nailoni Kisha nikaichumbia kila kona ya nyumba/ kiwanja changu itasaidia? Au ni lazima niinyunyizie kila siku?
Tiba zote ni sahihi lakini mimi ningekushauri utumie chumvi kuogea na maffuta kujipaka, kama kuna siku hujaoga basi waweza tumia hiyo njia ya piliHongera my brother mshana kwa elimu hii unayotupatia
Kuna uzi nlipitia huku jamaa anasema hiyo chumvi itafaa zaidi na kuleta matokeo ya haraka kama utachanganya na mafuta ya olive oil na kujipaka mwilini ila zaidi akasisitiza kua unaweza kujipaka
Kwenye paji la uso
Kifuani
Mikononi na miguuni
Hii imekaaje broh mshana ni bora zaidi kwa kuchanganya na hayo mafuta ya Olive oil.
Na je? Kuna nguvu yoyote inayobebwa na haya mafuta kwa ajili ya matumizi kama ilivyo chumvi
Nashukuru sana kama utanipa ufafanuzi kwako mshana jr