[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Tiba zote ni sahihi lakini mimi ningekushauri utumie chumvi kuogea na maffuta kujipaka, kama kuna siku hujaoga basi waweza tumia hiyo njia ya pili
[emoji123]Nimekuelewa
Inaonekana ni chumvi ya mabongeNdio hii nini?
View attachment 1900061
😀 🙌Dada zetu wasije anza kunuiza chumvi ni nyeupe......nifanye niwe mweupe bila kalo laiti🙂🙂
Chief..Asante sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mfuko wowoteChief..
Ni mfuko gani wa nguo tunapashwa kuweka punje za hiyo chumvi....
Suruali mfuko wa mbele au Nyuma, kulia au kushoto.
Shati la mikono mirefu au mifupi Vipi kuhusu T-shirt.
Kwenye Gari inakuwaje pia.
Vipi Mbali na kuoga unaitumiaje ndani ya Nyumba.
Vipi Hata Nyumba ya kupanga au ya Kwako ya kumilki au Hata za urithi.
Asante
Asante Chief.Mfuko wowote
Nyumba yoyoye
Mahali popote
Chumvi haina masharti kama ya waganga wa kienyeji
Yeah... Kikubwa ni imani na kufanya katika utimilifu wakeAsante Chief.
Kuna mdau amesema alichimbia kwenye pembbe za Nyumba pia Mengine aliyanyunyizia nje akixungukia Nyumba Yao na baadae Kama wiki Mambo Yake yakawa sawa.
Hii pia Ni matumizi halisi ya chumvi