Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Vipi kuhusu maji ya bahari
 
Yapo maneno ya kilatini ukiyaongezea hapo,hata use na balaa gani linasepa baada ya kuyasema juu ya chumvi hugeuka maji ya upako,(siri) ambayo huponyesha.
Au ukachukuwa chumvi ukachanganya na magadi Fulani upare yapo ukajumlisha na maneno ya lilatini,yaani pepo ondoka yake itakuwa sio ya kawaida,siri za kinabii.
 
Maneno hayo ni yapi
 
Hayafanani inategemea una shida gani lakini haya yanaweza kuwa msaada....
Chumvi ni tiba nitibie shida yangu
Chumvi ni ladha niletee ladha kwenye maisha yangu
Chumvi ni kinga nikinge na mambo mabaya na hatari zote
Chumvi ni kikoleza... Koleza mafanikio yangu, kutafuta kwangu, kupendwa kwangu nk
Chumvi ni kiungo nifanye nifanyike kiungo kila nitakapopita
Raha sana
Nimejikuta Amani imerudi moyoni mwangu. Hapo mwanzo sikuwa interested sana na Uzi huu. Baada tu ya kuufatilia nimepata amani ya nafsi.
 
Asante kwa elimu nzuri kwakweli imenisaidia mahali nilipokuwa nimepanga kila ikifika jioni kuna sauti za waduuu walikuwa wakiliia kwenye dirisha kila siku tena wanatoa sauti za kusumbua hata kulala huwezi unaamka na kuhangaika kulikagua dirisha lakini simwoni huyo mdudu nikakumbuka mada ya mshana kuhusu tiba ya chumvi nikaamka na kunyunyuzia nyumba nzima na kwenye lile dirisha kwa muda wa wiki moja toka siku hiyo hadi leo sijasikia tena sauti ya yule mdudu.

Asante mshana mada yako imenisaidia ubarikiwe
Very interest
 
Back
Top Bottom