Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Aisee bro Mshana hii kitu ya chumvi kweli kabisa.... jana nimepokea simu za ma ex mfululizo wanaomba weekend tutoke na gharama juu yao.... wakati walikua wananichukia tangu tuachane hata salamu sipati[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chumvi oyeeee lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] imestimulate mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana jr, you're still good in my books. Be blessed abundantly kwa somo hili.....

Niongezee tu kwenye chumvi ya mawe
- inasaidia mmeng'enyo wa chakula
- inaondoa gesi na kiungulia
-husaidia maumivuu ya miguu kwa kuloweka miguu ndani ya maji ya chumvi kwa dakika kadhaa.
- pia humairisha kinga ya mwili.
- unaweza itumia kama srub ya ngozi
- na pia hujaza nywele kichwani kwa wapendao nywele nyiingi, kwa kuweka kipimo sawa cha chumvi na conditioner changanya kisha paka kwenye nywele, kaa nayo kwa dakika ishirini au nusu saa kisha osha, rudia mara kwa mara kwa matokeo ya haraka.
 
Mkuu vipi nikiitumia kwenye mlo kabisa??
Yaani kama nikiiogeda tu inasaidia basi mi naila kabisa kwa kuipikia kwenye msosi, mambo sijui eti hayana ya madini joto hiyo tutajua mbele ya safari
Kuna kitu katika hii mambo lazma. Kuna siku nilikumkuta mzungu m1 anayo anaifanyia nini wakati haina madini joto na wao ndio walioshauri tusiitumie(kwa sayansi zao)?

Alijibu kuwa yeye amekuwa akiitumia kwenye mikate mara 2 kwa wiki na huwa anainunua kwa bei ghali akiwa kwao huko Uholanzi.
Sikupata muda mwingi wa kumhoji kutokana na mazingira tuliyokutana.
 
pia huwanatafuta tafsiri ya mke wa Rutu kugeuka nguzo ya chumvi
The Hebrew for “looked back” means more than to glance over one’s shoulder. It means “to regard, to consider, to pay attention to.” Inawezekana alikuwa akifurahia mambo yaliyokuwa yanafanyika hivyo alikuwa haamini kama ndio anayaacha.
Au pengine alikuwa akiwafikiria marafiki zake aliowaacha humo huku wakiangamia.
Pia huenda kwa sababu alikiuka miiko aliyopewa mumewe kuwa wakati wakiondoka wasigeuke nyuma.
Note: Tunapoamua kuacha matendo mabaya na kumfuta Kristo tusiyakumbuke tena yale tuliyoyaacha(mabaya) bali tuzingatie yaliyo mema.

NB:- Wale wanaosema waganga ndio wana masharti tu walifikirie na hili.
 
Mi hua naamini kua wachawi wapo siku zote yawezekana wala hawana mpango na wewe lakini ukianza kujihami watajiuliza kama wanakuachaga kumbe wewe ni mpinzani hodari
Kwahiyo mkuu wachawi ni kama polisisiem.

usipoandamana wala hawahitaji intelijensia kukukamata.

ila andamana kwa kuogea chumvi uone shughuli yake.

wataanza intelijensia ya kuloga genge unalonujua chumvi mpaka chumvi yenyewe kisha wanakushujia wewe mwenyewe.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Yeah ukiomba utakaso na ngekewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mkuu mshana tuwape chumvi za kutosha kina prof kabudi na wenzake tusiowajua wanaochuana na wawakilishi wa barick kuhusu makinikia.
ujuwe tusipojipanga kila idara ndoto za noah na elimu bure na maflyover na train za umeme zote zitapotea.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom