Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

mkuu kama unataka tumia kuogea unapimaje unaweka mengi hadi Maji yawe na radha? na je, unapooga unaruhusiwa kutumia sabuni? na je, chumvi inayohitajika ni kama ile ya uvinza kgm?

cc. mshana jr
 
Oga na sabuni takata, chukua maji mengine kwenye ndoo weka fumba la chumvi changanya jumwagie mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Share nasi ushuhuda wako tujifunze. If that's okay.

-Kaveli-
Mimi niliitumia kwa wadeni wangu walikua wananizungusha muda mrefu nikawanuia kwa kuwataja majina yao wanilipe pesa zangu huwezi amini yani siku hiyo hiyo nilipata pesa zangu. Hata kwenye biashara zangu pia huwa natumia na naona matokeo, na mengine mengi
 
Kwenye biashara unafanyaje?
 
Mimi niliitumia kwa wadeni wangu walikua wananizungusha muda mrefu nikawanuia kwa kuwataja majina yao wanilipe pesa zangu huwezi amini yani siku hiyo hiyo nilipata pesa zangu. Hata kwenye biashara zangu pia huwa natumia na naona matokeo, na mengine mengi

Sawa mdada. Thanks kwa kushea nasi. Huwa unaogea tu eeh? unainuia chumvi yenyewe kisha ndiyo unaiweka kwenye maji? ama unaiweka kwanza kwenye maji ndipo unanuia? na ni kiasi gani?
aina ya chumvi najua ni ile local (ya mawe).

-Kaveli-
 
Nimefanya hii kitu ila toka siku ya kwanza nilipofanya nililala usingizi mzito sana usiku, hali imeendelea hadi sasa hivi. Je ni kawaida au kuna tatizo???
cc. mshana jr
 
Back
Top Bottom