Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Aisee bro Mshana hii kitu ya chumvi kweli kabisa.... jana nimepokea simu za ma ex mfululizo wanaomba weekend tutoke na gharama juu yao.... wakati walikua wananichukia tangu tuachane hata salamu sipati[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chumvi oyeeee lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hata mimi naona naanza kukupenda kwa kweli unaingia moyoni kwa kasi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji39] [emoji39] Chumvi hatari sana.

Sent From Guest House
 
Basi mkuu mshana tuwape chumvi za kutosha kina prof kabudi na wenzake tusiowajua wanaochuana na wawakilishi wa barick kuhusu makinikia.
ujuwe tusipojipanga kila idara ndoto za noah na elimu bure na maflyover na train za umeme zote zitapotea.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Hatutawaweza wazungu wanacheza na dunia zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom