Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Baada ya tiba ya chumvi ya mawe,
kwa hatua za awali nimetambua kuwa nimefungw muda mrefu sana kwa mambo mengi sn,
Hapa nna majonzi sn kuona namna maish yangu yamevurugwa muda mrefu bila mm kustuka.
NTarudi siku nyingine, ....
Ee Mungu nisaidie hii vita.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pole Sana mkuu, binadamu sisi niwashenzi Sana.
 
Baada ya tiba ya chumvi ya mawe,
kwa hatua za awali nimetambua kuwa nimefungw muda mrefu sana kwa mambo mengi sn,
Hapa nna majonzi sn kuona namna maish yangu yamevurugwa muda mrefu bila mm kustuka.
NTarudi siku nyingine, ....
Ee Mungu nisaidie hii vita.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pole sana sana
 
mimi huitumia sana kufukuza upepo mkali nyumbani kwangu
Nilipokua mdogo,,,,ilikua kama kuna mvua iloambatana na upepo mkali inalaza sana mahindi shambani. Yaan mahnd yanalazwa na upepo hvo kuathiri mavuno. Nakumbuka bibi alikua anachukua majivu anachanganya na chumvi afu anasema nitamke maneno flan hv nmeyasahau afu unatupia ule mchanganyiko kwny mvua mara mnaona upepo umeisha. Sasa leo hii maada ndo imenkumbusha na nmeanza kuunga dot
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom