Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mimi nilifuata ushauri wa mshana mwaka jana mwishoni hapa kuhusu chumvi maana mambo yangu hayakuwa yakienda kabisa kila nilichokuwa nafanya hakikuwa kinaleta matokeo chanya hata kidogo nikishika hela sijui zinaenda wapi kiasi kwamba kuna kipindi ndani nakaa sina hata elfu kumi ya ziada.mi ni fundi cm nikilitewa cm za wateja unakuta kauzembe kidogo tu naua cm ya mtu nafanya upande wa software kama vile kuflash na zingine kama hizo yaani ilikuwa nikimaliza kulipa hii kabla sijakaa vizuri nazingua ya kwa mwingine tena.yaani mabalaa balaa ya ya ajabu ajabu tu hata nikiwa kwenye mahusiano hayadumu kabisa naweza amka tu from no where namzingua mtoto wa watu na ndo inakuwa imeisha ivo hata nikija kujirudi kuomba msamaha inakuwa haiwezekani tena.ila tokea nimeanza kuogea chumvi ile january mpaka leo nina wastani wa kutunza laki tatu mpaka nne kwa mwezi na hapo nimetoa matumizi yote ya kila mwezi kama vile kodi chakula na vingine kama ivo sina tena madeni kitu ambacho haijawahi tokea hapo kabla.na hapo mimi sikuwa nainuia wala kuogea kwa kufuata huu utaratibu ambao nimeuona kwenye huu uzi wa siku 7 14 au 21.huu uzi nimechelewa kidogo kuuona maana nimeanza kuusoma juzi nikaamua kupitia comment zote kujifunza zaidi na kweli sijakusea kufanya ivo shukruna sana kwa mzee wetu kiongozi Mshana Jr kwa ushauri wake wa bure ambao umenisaidia sana katika maisha yangu kwa muda mchache sana
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza kutumia chumvi hiyo na ndani ya muda mfupi naanza kuona matokeo chanya. Nitaleta mrejesho ndani ya siku 7 kabla sijaamua kuendelea na 14. Ombi langu kwa Mshana Jr naomba uni-tag niweze kuwa na rejea zote. Asante sana mkuu.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mbona sikuona matokeo yoyote hadi pakti ikaisha?? Au nuksi yangu kubwa [emoji3][emoji3]
 
Mambo ya Chumvi hayo
20210519_112506.jpg
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoisha
View attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu ukifanya hivyo mchawi akija au mtu mbaya mwenye nia mbaya nini kinampata kinachomzuia asifanye mabaya atakayo
 
Black Salt, how to make and use it​

black salt
Black Salt, is a very famous Hoodoo and Santeria magical tool and should not to be confused with the one used in Indian cuisine,
It is an invaluable product in any witch’s cupboard as it can remove negative energy from your property, remove unwanted guests and prevent them from returning back to you, protect you from the influences of third parties (relatives, colleagues, neighbours etc).

Recipe of Black Salt​

Black Salt exists in a ready-to-use form in the market but I will reveal its recipe to you if you prefer to make it yourself. (See here how to make it! ) Traditionally, the recipe demands to add salt along with scrapings from culinary pots (if you have an old cooking pot with enough black metal to scrap then this can be used). Alternatively, you can mix salt with charcoal, crushed black pepper, ash from your fireplace, or even better ash of protective herbs that you have previously burned in your cauldron. For every three spoons of salt add one spoon of the material of your choice.

Watch the Video from WitchTV – YouTube: How to Make Black Salt. Subscribe for Free

Now how to use black salt:​

  • Create a circle around the perimeter of your house for protection.
  • Sprinkle in your place to banish evil and to cleanse from negativity.
  • Furthermore, open your door and sprinkle some salt outside of your door. You can name the person you don’t wish to visit your property again and the reasons behind this.
  • Sprinkle some, salt with caution, behind the person you wish to remove from your place and then some outside of your door.

buy black salt

buy original Black Salt here!
Black Salt can be added to Water of Mars for improved protective and jinx removing effects. Please note that Black Salt is a very powerful tool. Therefore so I want you to think twice before you cast a spell to remove someone from your house. From personal experience I know that its effects are long-lasting.

​

Disclaimer:​

I would like you to be aware that as with many other magical recipes the same materials that are used for protection and good can be used for hexing and evil as well. All it matters it is not the material but your will and consciousness. Every spell you cast with a good will and a pure heart will return its benefit to you. On the contrary, every spell you cast to cause harm can, and eventually will, turn back to you. My intent is not to scare you but to make you aware of your intentions.

Chumvi Nyeusi, ni zana maarufu ya kichawi ya Hoodoo na Santeria na haipaswi kuchanganyikiwa na ile inayotumiwa katika vyakula vya Kihindi,

Ni bidhaa yenye thamani sana kwenye kabati la mchawi wowote kwani inaweza kuondoa nguvu hasi kutoka kwa mali yako, kuondoa wageni wasiohitajika na kuwazuia kurudi kwako, kukukinga na ushawishi wa watu wengine (jamaa, wenzako, majirani n.k.

Kichocheo cha Chumvi Nyeusi
Chumvi Nyeusi iko katika fomu tayari kutumika kwenye soko lakini nitakufunulia mapishi yake ikiwa unapendelea kuifanya mwenyewe. (Tazama hapa jinsi ya kuifanya!) Kijadi, kichocheo kinadai kuongeza chumvi pamoja na chakavu kutoka kwa sufuria za upishi (ikiwa una sufuria ya zamani ya kupikia na chuma nyeusi ya kutosha chakavu basi hii inaweza kutumika). Vinginevyo, unaweza kuchanganya chumvi na mkaa, pilipili nyeusi iliyokandamizwa, majivu kutoka mahali pa moto, au majivu bora zaidi ya mimea ya kinga ambayo hapo awali umechoma kwenye sufuria yako. Kwa kila vijiko vitatu vya chumvi ongeza kijiko kimoja cha nyenzo unayochagua.

Tazama Video kutoka kwa WitchTV - YouTube: Jinsi ya Kutengeneza Chumvi Nyeusi. Jisajili Bure

Sasa jinsi ya kutumia chumvi nyeusi:
Unda duara kuzunguka eneo la nyumba yako kwa ulinzi.
Nyunyiza mahali pako ili kuondoa uovu na kusafisha kutoka kwa uzembe.
Kwa kuongezea, fungua mlango wako na unyunyize chumvi nje ya mlango wako. Unaweza kutaja mtu ambaye hutaki kutembelea mali yako tena na sababu za hii.
Nyunyiza chumvi, kwa tahadhari, nyuma ya mtu unayetaka kumwondoa mahali pako na kisha nje ya mlango wako.
 
It is an invaluable product in any witch’s cupboard as it can remove negative energy from your property, remove unwanted guests and prevent them from returning back to you, protect you from the influences of third parties (relatives, colleagues, neighbours etc).[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi tuliokwenye Kazi za uchimbaji madini tutumie nini kuyafukuza majini Ili tupate mali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom