nimetupa milioni 10 yangu machimboni changamoto ni nyingi Sana kiangazi lakini chemchem ya maji sijui imetoka wapi,mara kifusi kilichokauka kinaseleleka shimoni kwenye vein.Mara shimo linapata ufa kifusi kinakatikia shimoni.

Black Salt, is a very famous Hoodoo and Santeria magical tool and should not to be confused with the one used in Indian cuisine,
It is an invaluable product in any witch’s cupboard as it can remove negative energy from your property, remove unwanted guests and prevent them from returning back to you, protect you from the influences of third parties (relatives, colleagues, neighbours etc).[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya Pili iko wapi?
Mbona umeruka toka Sehemu ya kwanza mpaka Sehemu ya tatu?![]()
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa kwenye Kutopatwa na mauzauza tena Kuota ndoto mbaya na za kuogofya Kupata usingizi mororo Kukingwa na...www.jamiiforums.com
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sorry ilipaswa kuwa hiiMbona umeruka toka Sehemu ya kwanza mpaka Sehemu ya tatu?
Ooh sorry ilipaswa kuwa hii
![]()
Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi
Msinishangae niko macho muda huu... Huu ndio wakati pekee naweza kufanya kitu kwa kutulia, hakuna kelele na akili imerelax (hata watoto wanaotafutwa muda huu huwa makini sana) wanaotafutwa saa sita mchana mmh[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] Kwenye mada yetu ya tiba ya chumvi kumekuwa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya hakuna shidaOoh sorry ilipaswa kuwa hii
![]()
Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi
Msinishangae niko macho muda huu... Huu ndio wakati pekee naweza kufanya kitu kwa kutulia, hakuna kelele na akili imerelax (hata watoto wanaotafutwa muda huu huwa makini sana) wanaotafutwa saa sita mchana mmh[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] Kwenye mada yetu ya tiba ya chumvi kumekuwa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mafasi endeleza ile Thread yako ya Third Eyes..................Ooh sorry ilipaswa kuwa hii
![]()
Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi
Msinishangae niko macho muda huu... Huu ndio wakati pekee naweza kufanya kitu kwa kutulia, hakuna kelele na akili imerelax (hata watoto wanaotafutwa muda huu huwa makini sana) wanaotafutwa saa sita mchana mmh[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] Kwenye mada yetu ya tiba ya chumvi kumekuwa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
August kaka tafanya hivyoUkipata mafasi endeleza ile Thread yako ya Third Eyes..................
Haya poa hakuna shida kaka.
Karibu sana na Mungu akatende sawa na matamanio yako! NAKUOMBEA...!!!Pamoja na kupita pita sana JF Leo ndio nimeona huu uzi adimu,
Mungu wangu naomba baraka iliyo katika chumvi isinipite.
Asante Mkuu Mshana Jr, Mungu akuabriki.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Siyo nguvu tuu kuisha inakuumiza yaani unajikuta hali imebadilika na ukienda vbaya inakuuaNguvu zinamwishia tu na kujiondokea zake ama anajikuta tu anaghairi
Unanuia unapokuwa na hitaji maalum.. Katika hali ya kawaida hata usiponuia chochote bado itafanya kaziWallahi tangu nianze kuogea chumvi kwa mara ya pili maana nilianzaga mwaka jana nikaacha sikuonaga matokeo,Nimeanza tena toka last month sijagusa nyeto kabisaa hata hiyo hamu sina kabisa sijui ndo inafanya kazi.
Maana nilikua hata nikitoka kulala na demu wangu siku 2 mbele lazima nipige [emoji23]. Halafu naogea tu siongei chochote sijui kama niko sahihi.
dah nahisi maana sipendi lakini nilikua siwezi acha now naona niko powaUnanuia unapokuwa na hitaji maalum.. Katika hali ya kawaida hata usiponuia chochote bado itafanya kazi
BTW nyeto yako ina nguvu za giza ndani yake
Nibaada ya kuanza kuitumia na ikaanza kuwadhuru sasa wakajua namimi ni mchawi hivyo ili walazimu kutumia uchawi wao mkubwa kupambana na mimi, na hatimae wakajua natumia chumvi kujikinga hivyo wakawa wanaiua nguvuMmmh kivipi[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Jamani wachawi wananguvu Sana na hawakubali kushindwa ...! Huo ndio ukweli na uhalisiaNibaada ya kuanza kuitumia na ikaanza kuwadhuru sasa wakajua namimi ni mchawi hivyo ili walazimu kutumia uchawi wao mkubwa kupambana na mimi, na hatimae wakajua natumia chumvi kujikinga hivyo wakawa wanaiua nguvu
Jamani wachawi wananguvu Sana na hawakubali kushindwa
Kama sikukuua basi watakuachia uchizi na wanahasira sana
Ila mwishowe huumbuka vbaya SanaJamani wachawi wananguvu Sana na hawakubali kushindwa ...! Huo ndio ukweli na uhalisia