Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Mimi niliitumia kwa wadeni wangu walikua wananizungusha muda mrefu nikawanuia kwa kuwataja majina yao wanilipe pesa zangu huwezi amini yani siku hiyo hiyo nilipata pesa zangu. Hata kwenye biashara zangu pia huwa natumia na naona matokeo, na mengine mengi
UNAFANYAJE KWA WADENI MKUU MAANA NINAWADAI WATU FULANI KAMA M150 HIVI
 
VIPI KUHUSU NJIWA JE NI KWELI ANA NGUVU ZOZOTE ZA GIZA NA JE VIPI KUHUSU WATU WANAOKULA NJIWA
njiwa ana nguvu ya kuzuia wachawi (anawapa shida kuingia ndani kama nyumba iyo kuna njiwa),
na ili kuingia ndani lazima wawaue (mara nyingi huwakata kichwa na hutokuta damu wala vichwa vya njiwa, ni kiwiliwili tu)

ukiona ivo toka mbio
 
lakini je kuna ukweli au nguvu yoyote ya kutumia njiwa katika ulimwengu wa gizaa
njiwa anatumika sana tu, anaweza kuja akakupiga kofi (kukuzaba na mbawa zake hapa magonjwa yatakuandama mfululizo)

pia anaweza tumwa njiwa wa ajabu (muonekano wa kuogofya ) na ukimtizama ndo mwanzo wa matatizo kwako
 
MKUU WANAWACHOMEAJE WEKA WAZI NASI TUWA CHOMEE TUGAWANE KA SUNGURA AT!
Akikujibu nitag pls nataka fanya iyo kitu maana kuna bwege mmoja nimemfumania yaani kaniudhi sasa dawa ni kumroga tu hela zote za mshahara nile mimi .....hawa watu ukiwahurumia wanakuona fala sana[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chumvi imetumika sana kibiblia na inatumika sana na waganga. Super natural power hazihitaji science, zinahitaji strong spirit.
Salt was widely and variably used as a symbol and sacred sign in ancient Israel Numbers 18:19 and 2 Chronicles 13:5 illustrate salt as a covenant of friendship. In cultures throughout the region, the eating of salt is a sign of friendship.

Salt in the Bible - Wikipedia
 
Akikujibu nitag pls nataka fanya iyo kitu maana kuna bwege mmoja nimemfumania yaani kaniudhi sasa dawa ni kumroga tu hela zote za mshahara nile mimi .....hawa watu ukiwahurumia wanakuona fala sana[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
kajibu mkuu soma post inayofuata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom