Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Huyu bwana ni mshirikina kwelikweli. Thread zake nyingi ni za namna hii tu. Harika ombe.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Huyu bwana ni mshirikina kwelikweli. Thread zake nyingi ni za namna hii tu. Harika ombe.
Hii ndivo asili yetu waafrica, sema wazungu walivyoona iko too powerful, wakaanza kutufanya tuone ni ya kishenzi.Huyu bwana ni mshirikina kwelikweli. Thread zake nyingi ni za namna hii tu. Harika ombe.
Why. Si saltIyo sio
poaWachomee
Inenee kuwa wakulipe....
Ya mabonge ni recommendation tu or I can say its more powerful lakini nyingine pia zinafaa.... Hii ni remedy haina formula lakini kwa matokeo bora zaidi na kukumbuka fuata siku 7, 14, 21 etcmshana naomba kuuliza kuhusu types za chumvi je unamaanisha zile mabonge?
pia,katika kuoga unaoga siku ya saba then week moja baadaye? maana yake mara tatu kwa mwezi kama tukichagua jumapili kuwa siku ya kuogea chumvi.
Naomba ufafanuzi hapo.
UsiacheMkuu nimekogea mkuu sijalala kilichotokea leo vitu kama mchanga kumwagwa juu ya bati, na kama vijiwe kurushwa juu ya bati mida ya saa6 Usiku hadi saa 10 alfajiri.Kwakweli leo ya KANDA MAALUM YAMEMIKUTA SI MCHEZO Kaka
Wanawake ukiwa MP inaruhusiwa au mpaka umalize masharti yake nini hasa ili mtu usije ukakosea likakikuta balaaYa mabonge ni recommendation tu or I can say its more powerful lakini nyingine pia zinafaa.... Hii ni remedy haina formula lakini kwa matokeo bora zaidi na kukumbuka fuata siku 7, 14, 21 etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Amalize kwanza for the best resultsWanawake ukiwa MP inaruhusiwa au mpaka umalize masharti yake nini hasa ili mtu usije ukakosea likakikuta balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unaoga ni lazima uogee kwa muda maalum kila siku au mda wowote unaoga tu mradi utimize sku husika
Unaogea siku saba mfululizo au 14 mfululizo au 21 mfululizo so chaguamshana naomba kuuliza kuhusu types za chumvi je unamaanisha zile mabonge?
pia,katika kuoga unaoga siku ya saba then week moja baadaye? maana yake mara tatu kwa mwezi kama tukichagua jumapili kuwa siku ya kuogea chumvi.
Naomba ufafanuzi hapo.
[emoji106]Takata-kuwa msafi
Fumba-kiganja
Mungu wangu hivi mimi ni mhenga eeh[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ee! Pole kwa maswali mleta mada. Nakupongeza sana kwa kujitahidi kuwajibu wadau hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app