NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
mkuu wadeni wangu nao niwachomeaje wanilipe haki yangu!Hahahaaaaa
Utaua mkuu
Choma ni chome
Kwenye mkaa...wanainuizia wanachoma....wanakogea...na nyingine hutupwa njia panda
Huchomokiiii
mkuu wadeni wangu nao niwachomeaje wanilipe haki yangu!Hahahaaaaa
Utaua mkuu
Choma ni chome
Kwenye mkaa...wanainuizia wanachoma....wanakogea...na nyingine hutupwa njia panda
Huchomokiiii
Wachomeemkuu wadeni wangu nao niwachomeaje wanilipe haki yangu!
Ahsante mkuuWachomee
Inenee kuwa wakulipe....
Hahahahaaaa we kwel kilazaMimi leo nimeongeza nusu kilo ya chumvi kwenye chakula dinner.na nimekula yote.nadhani kwa kula ndiyo italeta kinga madhubuti
Iyo sioEpsom salt?
😀😀😀😀😀Takata-kuwa msafi
Fumba-kiganja
Mungu wangu hivi mimi ni mhenga eeh[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vyema mkuu. Epsom salt ni chumvi ya haluli.Hutumika kama dawa ya kuharisha(Kusafisha tumbo).Chumvi inayozungumziwa hapa ni Rock salt au chumvi ya mabonge au mawe.Iyo sio
Yup Ulaya ndo wanaogea hio inatoa uchovu, stress etc lkn sio ka anayozungumza kaka mshana hapo juu....Umejibu vyema mkuu. Epsom salt ni chumvi ya haluli.Hutumika kama dawa ya kuharisha(Kusafisha tumbo).Chumvi inayozungumziwa hapa ni Rock salt au chumvi ya mabonge au mawe.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji144] [emoji115]Mkuu Mshana somo zuri lakini unakoelekea unakujua mwenyewe siku hizi 😀😀😀😱
Mkuu nimekogea mkuu sijalala kilichotokea leo vitu kama mchanga kumwagwa juu ya bati, na kama vijiwe kurushwa juu ya bati mida ya saa6 Usiku hadi saa 10 alfajiri.Kwakweli leo ya KANDA MAALUM YAMEMIKUTA SI MCHEZO Kaka
Rudia tena leo usiku usiacheMkuu nimekogea mkuu sijalala kilichotokea leo vitu kama mchanga kumwagwa juu ya bati, na kama vijiwe kurushwa juu ya bati mida ya saa6 Usiku hadi saa 10 alfajiri.Kwakweli leo ya KANDA MAALUM YAMEMIKUTA SI MCHEZO Kaka
ina maana nikoge usiku mkuu au ?
mkuu inamaana nikoge usiku au?
Yeye anawaonesha njia tu wakuu "chumvi chumvi tu hata magadi yao yanaitwa chumvi" 😉Yup Ulaya ndo wanaogea hio inatoa uchovu, stress etc lkn sio ka anayozungumza kaka mshana hapo juu....
hio chumvi mwende madukani hata viduka vya wahindi huko vya chakula mtapata
Yeah halafu lala na kipande cha ndimuina maana nikoge usiku mkuu au ?
mkuu inamaana nikoge usiku au?