Thread zilizobamba mwezi August MMU

Thread zilizobamba mwezi August MMU

Usiache kuniambia shogaangu suri nitakununulia karanga za kuangalizia movie.!

Hapo umepata shogaangu, ntamuwekea alarm kabisa akijata tu napewa alart...haloooo ..oo
 
Last edited by a moderator:
nimesahau jina la thread lakini ilikuwa inahusu mwanaume wa jf kumtongoza mwanae
 
mods niko chini ya miguu yenu ila siwachungulii kwa niaba ya mashostito wenzangu naomba huu uzi usifutwe,ni hayo tu
 
kule JLW kuna ule uzi unaosema vijana kuweni makini, sio kila mwanamke ni wa kuzamiwa chumvini.. wengine majanga..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom