Mrejesho: Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Mrejesho: Mwanamke kamkataa mtoto wangu

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Ni mwezi mmoja umepita tangu nilete suala hilo hapa jukwaani nisikuleta suala hilo kama mzaha ni jambo ambalo linanigusa kwa ukubwa wa kipekee na kwa kutambua umuhimu wa wanajf hasa MMU nilitegemea kupata ushauri mzuri toka kwenu wapo watu walitoa ushauri mzuri sana mpaka wengine wakaweka exprience ya maisha yao wapo wengi walitoa ushauri wa kubeza na kubomoa, lakini kwa hakika niliupokea ushauri wenu kwa moyo mkunjufu kabisa.

Kuhusu suala la kuvunja ndoa ni jambo ambalo haliwezekani kwa sababu tayari nina watoto 2 ambao nimezaa nae hivyo nikivunja ndoa nitakuwa na watoto 3 ambao itabidi walelewe na mama wa kambo je, yeye atakubali.Kuhusu kutumia nguvu kumleta nyumbani nimeona nitamsababishia matatizo mtoto maana ni mdogo ataishi kwa shida hasa wakati ambao sipo nyumbani na itamuadhiri Kisaikolojia.

Nilichoamua;

Nimetafuta shule ya Boarding nchini Kenya na nategemea kumpeleka huko mwezi wa nane mihula yao itakapoanza vile vile niliweza kumtafuta mume mamake nikaongea nae kwa mapana zaidi ikiwemo kumuomba mtoto kwenda kumtembelea mamayake pindi atakapofunga shule.

Ili angalau apate mapenzi ya mamake akakubali hivyo mtoto ataenda boarding akifunga atakuwa anachagua pakwenda kwa maana kwamba nyumbani kwetu kwa mama, bibiake mzaa mama na kwa mamake mzazi mpaka pale atakapofikia umri wa kujitegemea na kujitambua ndipo atakuja kuishi nyumbani.

Mwanamke kamkataa mtoto wangu
 
Hayo ndio maisha, wenzetu waingereza husema "To run away from the problem is not a solution". Kwa kuwa umelikabili Tatizo na kulipatia ufumbuzi ni vzr. Ila jitahidini kuwa karibu na mtoto pindi akiwa likizo maana shule za bweni zina vibwanga vywake.
 
umeamua vizuri........najiuliza huyo mkeo ulimweleza kabla kwamba una mtoto kwanini leo anakataa kumleta hapo nyumbani
 
Molembe, kwanza niseme pole kwa mtoto kukataliwa na mkeo. Kingine umeainisha mtoto kwenda kwa mamake au bibi wakati wa likizo, Huyu mtoto Ana wadogo zake ambao na hao wa mkeo unayeishi naye. Wana haki ya kuwa na ndugu yao wakati wa likizo pia. Hawa watoto ni ndugu na kuwakutanisha pia huwajengea mahusiano mazuri hata ukubwani... Huyu mkeo nadhani
Kuna haja ya kuendelea kuongea naye kuhusu hilo. Sijapenda how she is behaving.... Ninaishi na mtoto wa mume wangu ni Mkubwa kuliko wanangu na amekuwa faraja sana kwa wadogo zake na kuwapenda na kuwalea.
 
Last edited by a moderator:
Molembe kwanza nikupongeze sana kwa kufikia suluhu nzuri juu ya hili swala.

as a matter of fact ,mie ni mtu ambaye nilikuwa napinga sana juu ya hili swala la mkeo na ninakuambia wazi kwamba nyuma ya huku kukataa kuna jambo. Ingawa tulimalizana PM mimi na wewe baada ya kunielewesha kwa mapana nilikuelewa na ukweli umepita pagumu sanaaaa.

swala la kumpeleka mtoto shule ya bweni katika umri mdogo ni changamoto sana hasa hizi shule za Kenya ambako nimewah kuskia wengi watoto wanafanya vitendo vibaya sana. Sisemi kwamba za TZ hawafanyi laa. ninachokuomba sana ni hiki.

1. mweleweshe mwanao aina ya maisha anayokwenda kukutana nayo before

2. mpe assurance kwamba you will be there for him/her ili kwamba asiwe mpweke

3. msisitize juu ya kusali zaid ili awe na hofu ya Mungu

4.mfundishe zaid juu ya maadili yetu na athari za maisha anayokwenda kukutana nayo, usisahau kabisa kuongea naye juu ya magonjwa hasa HIV/AIDS na Hepatitis B. na mweleze kwamba uwezekano wa kuwepo wagonjwa miongoni mwa wanafunzi wenzie upo so asishee sharp objects na wengine, wala asishiriki vitendo vyovyote ambavyo ni vibaya.

5. mwambie pia aepuke makundi mabaya miongoni mwa hao atakao kutana nao.

kwako wewe sasa, najua bayana kwamba kuanza kuongea na mwanao katika umri wake huo mdogo mambo haya ni changamoto sana na pia unaona kama vile huwez. Lakin kaka kumbuka huna jins na hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa na huruma nae akamfundisha kama wewe. Jikaze uongee nae kama baba mweleze kila kitu in black and white, usimtishe ila mweleweshe aelewe.

mwisho kabisa nakutakia maisha mema katika malezi ya wanao. Kuhusu mkeo sitak kusema jambo kabisa
 
Hivi kweli watu huwa mnaleta visa vya kweli kwenye maisha yenu au huwa mnatunga tu?
 
Mkuu gfsonwin nashukru kwa ushauri kuhusu suala la shule nimeenda pale nimejiridhisha ipo vizuri vile vile ipo karibu na nyumbani hivyo rahisi hata mamangu kwenda kumuona huko kila wikiendi.
Kuhusu kumwambia kila kitu haiwezekani bado ni mdogo inaweza kumuathiri kisaikolojia bora aendelee kutokujua kinachoendelea mpaka atakapofika mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Molembe kwanza nikupongeze sana kwa kufikia suluhu nzuri juu ya hili swala.

as a matter of fact ,mie ni mtu ambaye nilikuwa napinga sana juu ya hili swala la mkeo na ninakuambia wazi kwamba nyuma ya huku kukataa kuna jambo. Ingawa tulimalizana PM mimi na wewe baada ya kunielewesha kwa mapana nilikuelewa na ukweli umepita pagumu sanaaaa.

swala la kumpeleka mtoto shule ya bweni katika umri mdogo ni changamoto sana hasa hizi shule za Kenya ambako nimewah kuskia wengi watoto wanafanya vitendo vibaya sana. Sisemi kwamba za TZ hawafanyi laa. ninachokuomba sana ni hiki.

1. mweleweshe mwanao aina ya maisha anayokwenda kukutana nayo before

2. mpe assurance kwamba you will be there for him/her ili kwamba asiwe mpweke

3. msisitize juu ya kusali zaid ili awe na hofu ya Mungu

4.mfundishe zaid juu ya maadili yetu na athari za maisha anayokwenda kukutana nayo, usisahau kabisa kuongea naye juu ya magonjwa hasa HIV/AIDS na Hepatitis B. na mweleze kwamba uwezekano wa kuwepo wagonjwa miongoni mwa wanafunzi wenzie upo so asishee sharp objects na wengine, wala asishiriki vitendo vyovyote ambavyo ni vibaya.

5. mwambie pia aepuke makundi mabaya miongoni mwa hao atakao kutana nao.

kwako wewe sasa, najua bayana kwamba kuanza kuongea na mwanao katika umri wake huo mdogo mambo haya ni changamoto sana na pia unaona kama vile huwez. Lakin kaka kumbuka huna jins na hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa na huruma nae akamfundisha kama wewe. Jikaze uongee nae kama baba mweleze kila kitu in black and white, usimtishe ila mweleweshe aelewe.

mwisho kabisa nakutakia maisha mema katika malezi ya wanao. Kuhusu mkeo sitak kusema jambo kabisa

Good advice . I love it.. Asante kwa kumshauri vizuri huyu Kaka yetu .... Thanks..
 
Inatia moyo sana kuona kuona Wanawake kama wewe, hongera sana kwa roho yako ya kibinadamu siyo kama huyu mwenye roho mbaya kuliko hata ya shetani.

Molembe, kwanza niseme pole kwa mtoto kukataliwa na mkeo. Kingine umeainisha mtoto kwenda kwa mamake au bibi wakati wa likizo, Huyu mtoto Ana wadogo zake ambao na hao wa mkeo unayeishi naye. Wana haki ya kuwa na ndugu yao wakati wa likizo pia. Hawa watoto ni ndugu na kuwakutanisha pia huwajengea mahusiano mazuri hata ukubwani... Huyu mkeo nadhani
Kuna haja ya kuendelea kuongea naye kuhusu hilo. Sijapenda how she is behaving.... Ninaishi na mtoto wa mume wangu ni Mkubwa kuliko wanangu na amekuwa faraja sana kwa wadogo zake na kuwapenda na kuwalea.
 
Ni mwezi mmoja umepita tangu nilete suala hilo hapa jukwaani nisikuleta suala hilo kama mzaha ni jambo ambalo linanigusa kwa ukubwa wa kipekee na kwa kutambua umuhimu wa wanajf hasa MMU nilitegemea kupata ushauri mzuri toka kwenu wapo watu walitoa ushauri mzuri sana mpaka wengine wakaweka exprience ya maisha yao wapo wengi walitoa ushauri wa kubeza na kubomoa, lakini kwa hakika niliupokea ushauri wenu kwa moyo mkunjufu kabisa.

Kuhusu suala la kuvunja ndoa ni jambo ambalo haliwezekani kwa sababu tayari nina watoto 2 ambao nimezaa nae hivyo nikivunja ndoa nitakuwa na watoto 3 ambao itabidi walelewe na mama wa kambo je, yeye atakubali.Kuhusu kutumia nguvu kumleta nyumbani nimeona nitamsababishia matatizo mtoto maana ni mdogo ataishi kwa shida hasa wakati ambao sipo nyumbani na itamuadhiri Kisaikolojia.

Nilichoamua;

Nimetafuta shule ya Boarding nchini Kenya na nategemea kumpeleka huko mwezi wa nane mihula yao itakapoanza vile vile niliweza kumtafuta mume mamake nikaongea nae kwa mapana zaidi ikiwemo kumuomba mtoto kwenda kumtembelea mamayake pindi atakapofunga shule.

Ili angalau apate mapenzi ya mamake akakubali hivyo mtoto ataenda boarding akifunga atakuwa anachagua pakwenda kwa maana kwamba nyumbani kwetu kwa mama, bibiake mzaa mama na kwa mamake mzazi mpaka pale atakapofikia umri wa kujitegemea na kujitambua ndipo atakuja kuishi nyumbani.

Mwanamke kamkataa mtoto wangu
Ok mzuri.
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom