TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Ya Leo itabidi ulete Uzi wenye security code for modes only.....kila wakiidelete waambiwe access denied hahaha
Yan adi natamani niwasute wao hao mods wamefuta nyuz zangu zaid hata ya tano walahii
Ya Leo itabidi ulete Uzi wenye security code for modes only.....kila wakiidelete waambiwe access denied hahaha
Hahahaaaaa na akuje pande hizi leo alete izo nyalaka zakeee
Atakuwa amefanya la mbolea sana aisee... Make kila uzi akiweka unapigwa pin khaaaa!!!
Nasubira yule aliyekua mbali na laptop asogee karibu na laptop alete ushahidi pengine hiyo thread yake yaweza kuwa tamu zaidi,
Yan adi natamani niwasute wao hao mods wamefuta nyuz zangu zaid hata ya tano walahii
but hizi simu zinaumiza akili sana,unaweza kuchuniana na mpenzi wako hamwongei hata week unadhani mko busy,siku mkionana unakuta anachat vizuri na watu,tena sasa hivi mpaka internet akosee amesahau kulog out fb,yani tabu tu,kwanza mwingine ameweka password kwenye simu,ukiwa naye ukishika simu anachanganyikiwaDuh... Sitaki hata kufikiria kuhusu hiyo thread. Nilikiwa nakosana na bf wangu kisa simu.
Siku moja tukakaa chini na kuanza ku analyse ni nini chanzo hasa cha ugomvi wetu. Tukaja kugundua ni simu, tukaanza kujizoesha kutoshikiana simu na tukakaa kwa amani sana.
Make haya makitu sijui ndio mchepuko ni unkwepable kwa wanaume wengu....
but hizi simu zinaumiza akili sana,unaweza kuchuniana na mpenzi wako hamwongei hata week unadhani mko busy,siku mkionana unakuta anachat vizuri na watu,tena sasa hivi mpaka internet akosee amesahau kulog out fb,yani tabu tu,kwanza mwingine ameweka password kwenye simu,ukiwa naye ukishika simu anachanganyikiwa
Hii itakuwa rekodi ya jeiefu...kufutiwa nyuzi zaidi ya tano
Yan adi natamani niwasute wao hao mods wamefuta nyuz zangu zaid hata ya tano walahii
hahaha tumpe medali
hata kama si mwanzo wa mahusiano,unakuta mnongea mambo ya maana yanahitaji attention msikilizane,ila utakuta yeye na simu kashangia internet ana-broswe,kama hujamshtukia uongea mwenyewe ye anaitikia tu eeeh,eeeh ikawaje,...ukitaka kumshtusha mpenzi wako shika simu yake na usimwambie lolote tulia tu utaona atakosaje amani,au angalia hata phonebook yakekama kuna kitu sijawahi elewa ni jinsi gani simu inawakosanisha, labda mwanzoni mwa mahusiano.kidooogo ntaelewa.
Atakuwa amefanya la mbolea sana aisee... Make kila uzi akiweka unapigwa pin khaaaa!!!
hata kama si mwanzo wa mahusiano,unakuta mnongea mambo ya maana yanahitaji attention msikilizane,ila utakuta yeye na simu kashangia internet ana-broswe,kama hujamshtukia uongea mwenyewe ye anaitikia tu eeeh,eeeh ikawaje,...ukitaka kumshtusha mpenzi wako shika simu yake na usimwambie lolote tulia tu utaona atakosaje amani,au angalia hata phonebook yake
umevunja rekodi tumboo