Thread zilizobamba mwezi August MMU

Thread zilizobamba mwezi August MMU

mkuu humu MMU sioni makundi coz inategemea na threads zikija za free p nipo against ila akileta za kutooa mapema nipo nae.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza totoro mkuu...

Siasani makundi wayaona kwa kuwa yapo hadharani, huku MMU ni ngumu kuyaona kwa kuwa yanafanyika 'jukwaa la pm'...

Wanasema kuona huja baada ya kutazama na kutazama ni matokeo ya kuangalia, hadi sasa pengine wewe upo kwenye stage ya kuangalia au kutazama na hujafikia kuona...
 
Mabwaku... Kumbe kuna jukwaa la PM??

Tunaomba mods waweke access free ili ukitaka kuona pm za mtu fulani unaziona tu....
 
shoga achana naye asikupe presha bure watu kama hao ni kuwakaanga tu motoni kisha wakibanikwa watakuwa majivu
Unazan ana lolote tena anajifanya kuja kwa pm yang na ids mpya ili nmjib apate chakuleta apa hana uthibitishooi na leo namsubir kwa hamu tena nahic leo ban inanihusu maana atajutr
 
Itakuwa poa sana... Kuna mtu natamani kuona PM zake aiseew, ila tuseme ukweli. Kama mods wana access ya PM wanafaudu!!!

Hahahahaha...mbav zangu
Unajua kuona PM ya mtu ni sawa na kumla chabo wakat anajisitir. Inaondoa ujasiri...uuuwiiii...
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza totoro mkuu...

Siasani makundi wayaona kwa kuwa yapo hadharani, huku MMU ni ngumu kuyaona kwa kuwa yanafanyika 'jukwaa la pm'...

Wanasema kuona huja baada ya kutazama na kutazama ni matokeo ya kuangalia, hadi sasa pengine wewe upo kwenye stage ya kuangalia au kutazama na hujafikia kuona...

may be upo sawa
 
We Twin umesahau marriage is a hyprocritical institution ya lara 1
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa kuna mbea et alinipima mimba kwa pm na cna mbele wala nyuma cjui yy ana io mbele.....wasje wakafuta na huu

Ahaaaaaa!yule Dk.wa macho na sijamuona sijui anakuogopa teh!teh!teh we muache tutamnunulia keki na shampeni tumsute kizungu sie
 
Nakodisha matarumbeta na turubali bei rahis tu. Najua viti havihitajiki. Msuto hauitaji kukaa...kantangazeee😉
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom