Thread zilizobamba mwezi August MMU

Thread zilizobamba mwezi August MMU

Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.

Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:

1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.

2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.

3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.

4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...

5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...
Na wakusikia awe amesikia .
 
Uvjidanganye ntakosa ivo vitu wala sina shida navyoo

sijakwambia kama unaitwa shida ila kwa kuwa hatujatimia binadamu kuna baadhi ya vitu utakosa japo mimi sivijui wala wewe huvijui make love not war
 
Hahaha!!! ID hii ina watu wengi mkuu...

mkuu humu MMU sioni makundi coz inategemea na threads zikija za free p nipo against ila akileta za kutooa mapema nipo nae. ila siasani kule cwezi kuwa upande mmoja na MSALANI ifweero Ritz et al
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.

Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:

1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.

2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.

3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.

4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...

5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...

Naaaam yaan upogo poaa kisengee kwa maushaurii wala hunaga haraka aiseeee
 
Mkuu mie PM yangu ipo Blocked nini mbona haina chochote maana jana mpaka nkampigia maxence kumuuliza mbona hata tusi situmiwi PM labda mbovu
Hahaha pachaa wewe chokoza tu ,,,,,,,,,,,,,nasikia pm huwa zinatiririka tu ukipata watu sahihi.
 
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.

Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:

1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.

2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.

3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.

4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...

5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...

Umeongea point sana kias kwamba ungekua karb ngekukumbatia watu8. ...asanteeeeeeee...thread closed
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa wakati mwingine mambo ya jeiefu uwe wayaacha hapa hapa jeiefu maadamu hakuna mtu wa jeiefu anayekuvika, kukulisha, kukupeleka chooni n.k.

Ngoja nikupe namna nzuri ya kuishi hapa:

1. Usijibu PM za mtu yoyote yule ambao zimejaa umbea na mambo yafananayo na hayo.

2. Usikutane na mtu yoyote kama humuamini na hata kama wamuamini basi iwe ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja.

3. Usigawe namba ya simu kwa mtu yoyote usiyemuamini na hata ukigawa si lazima kujibu sms au kupokea simu zao.

4. Usifungamane na upande wowote (Hapa JF kuna makundi hususani MMU na Siasani kule)...

5. Usihangaike na mtu asiyeijua jana yako, leo yako na kesho yako...

thanx kwa ushauri murua
 
Herii yakoo wewe uliesoma English medium utuwache na ukayumba wetu

I’m not trying to be deliberately offensive but the authors definition of a wide range of people suggests they definitely need to forget about kayumba schools that’s not just a cheap shot but an important point which carries through into the subject we are discussing
 
Nimegundua thread zenye ushabiki ,unaa na umbea wa maisha binafsi ya members humu huwa zina nafasi kubwa ya kubamba .......bila kusahau zile zenye ushabiki wa kijinsia miss neddy.

hahajaha toa vivid examples
 
Last edited by a moderator:
.....thread zilizobamba ni ya zinc...

plus ya tumboo na lara 1 za msutoooo, mpaka mods ikabidi waziondoe
 
Last edited by a moderator:
Kwa hizi siku kama 3 zilizopita nimegundua kuna makund jf. Kama enzi ya vita baridi wenye msimamo mkali, wa kati na wasiofungamana na upande wowote
 
sheria nzuri kutosikiliza umbea kabisa wa PM, unakuwa free.

Try to relax and enjoy life, humo pm watu tumeshazushiwa sana ila maisha yanasonga na hatujabadilika kitu.... Tupo vile vile.
Relax kula maisha Mrembo.
 
Taratibu jamani... Mods wako macho kodo hapa.

Shauri zenu mje simogo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom