Hivi hasira haziwaishi nyie vijana, mmebadilisha hata maana ya thread mmehamishia michapo yenu huku! Alafu wengne mnachukiana hata hamjuani mnachukiana ki-ID IDs. Je mgekuwa mnaonana si mungepigana kabisa?
Mods wana wivu balaa.... Ngoja kuna siku nitawafuata huko kwenye server zao watajutraaaaa kuniregister!!
Ivi miss neddy unajua tusije sahau kumwita Dinazarde ili tusubir izo pm nlizo mtumia kijanamtanashati znavoanikwa apa
hili jukwaa limekuwa la mipasho bora hata traventine jumapili usiku nitajua ni jahazi wanapiga kuliko humu
shennzzzyyy kabisa kwa waimba taarabu wa jukwaa hili
Halafu huwa nafutiwa comments sielewi shida ya hawa mods ni nini?!
Nn kupigana leo tungenyofoana makalio kabisa lol
Mbona kama mjadala umehama au mm sijaelewa lengo la huu Uzi.
Ila watu mnanyongo humu.
Mbona kama mjadala umehama au mm sijaelewa lengo la huu Uzi.
Ila watu mnanyongo humu.
Cjambo mkuuu mzima weyee???
Nipo ndio naamkaa akija huyo mtanashatii uniite hata kwa vuvuzela
Mmbea gani shost tumboo hebu na mm nipe umbea
Shule za kayumba
duh! Mi nawaomba msameheane tu tusonge mbele
aiseee mipasho at work ngoja niobserve tu .....