snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
weeee! aliyekwambia degree huchukuliwa nani? Zinasomwa tena kwa msoto mkali na manyanyaso kutoka kwa lecturers (japo sio wote). siku hizi kila kitu vijana wamesimplify, ndo maana unasema unachukua degree. soma kijana usichukue degree. au mwenzetu huko chuon degree zimetundikwa sehemu fulani, ukifika hapo unazuga miaka yako 3,4/5 then unaibeba?
nililiona hili nikaamua ninyamaze tu nisije nikaonekana nina tatizo binausi na kijana! eti nachukua digriii!
DAH!
ilikuwaje mimi sikuchukua asee!