THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

nipo chuo kikuu nachukua digrii,kaka!

weeee! aliyekwambia degree huchukuliwa nani? Zinasomwa tena kwa msoto mkali na manyanyaso kutoka kwa lecturers (japo sio wote). siku hizi kila kitu vijana wamesimplify, ndo maana unasema unachukua degree. soma kijana usichukue degree. au mwenzetu huko chuon degree zimetundikwa sehemu fulani, ukifika hapo unazuga miaka yako 3,4/5 then unaibeba?
 
aya bwana...umetsha!
 
aya bwana bora yako,ulie chuo kikuu

mwezio natafuta nitakakoweza kusoma English course naona vijana wananisumbua ninapotumia kiingereza changu cha ugoko. unaweza kunijuza kimojawapo. nipo dar!
 
miss chagga nimekupenda bure na majibu yakooooo.....I want to mary uuuu......hahaaaaa daaagh we lugano5 wacha kuwa mzembe ivyo yani unaleta drama kabisa....sasa we hujui ukitakacho maana unasema unasaka mke hapo hapo miss chaga anataka kukutafutia wa kutolea undewa pia unakubali.....watu wamekudharau no wonder DEMBA anakuuliza una bikra ya nyuma??......ooooops
 
Last edited by a moderator:

she z not only finding a grl to remove my virgin bt also a grl for my life bear in mind.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom