THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.

advice...get out of the boyish world son!
 
Let me tell u something my friend, inawezekana ni kweli unamhitaji mwanamke wa kumuoa, siyo mbaya ila anza kwanza kuwa karibu naye, anza kumchunguza kama anaweza na anataka kuwa na wewe, kuwa very best friend to her na siku zote hakuna urafiki uliopitiliza kati ya me na fe, utashangaa she can fall in love with you. Timing ni muhimu sana mdogo wangu.

poah,bway am now practising it
 
Sasa Bbu hata ile mbinu tu ya kuzaliwa hawana?
Sasa si majanga hayo?

Wanzaidiwa hata na jogoo?
Huwa jogoo linamwambia mtetea "nitakununulia kiteeeeengee"!!!!!!!!!!!.........lol!!!!!!!!!

mier,umesomeka kaka
 
Tenga mwezi au wiki moja, hakikisha angalau ukose course work (waweza kumuomba mwl), kisha ni kupanda ngazi na kushuka kila mara, cafeteria, resting places, nk zunguka chuo kizima kwa week au mwezi mzima, kumbuka kuchukua namba hata kama ni 180 chukua tu. Ikishindikana zunguka faculty au department za Agriculture au eduche, uwe makini na hawa make wao hawataki kugongwa tu na kuachwa; wao wanapenda kupata mme/ mke wa jumla Tahadhari ukicheza na hawa utapata mtoto ukiwa bado ukiwa chuo. Afu mtoto wa kiume punguza kulalama yaani hivi visiketi vya siku hizi thinking capacity zao zilivyo ndogo hivi vinakushinda? {(Make wao ni kucha, midoli ndani, mabegi, heleni, wanja, vioo mikobani, kupika hawajui, mapenzi hawajui (ni kulala tu kama magogo)}. IKISHINDIKANA AZIMA UCHAWI WA MZUNGU (gari) hapa PERIOD.
 
Kila mtu ana approach yake kwa mwanamke, but i don't think kama ni njia nzuri ya kumpata demu hasa wa kutaka kuanzisha naye familia kwa kuonesha kuwa wewe ni matawi.
 
Kweli nakubaliana nawe ila inaonesha jamaa kashindwa kabisa kumpta hata mmoja, ili asije jikata uume bure, kama wengine wanavyo fanya ndio maana nimemshauri hivyo mheshimiwa.
 
mimi na umri wangu wa miaka 27 sijawahi kutumia nguvu kubwa vitu vinavyoonesha i have, au hata hela. Nilipokuwa chuo sikuingia kwenye mahusiano mpaka nilipofika mwaka wa mwisho na siyo kwamba nawashindwa hapana ila sikuwa tayari, na ambaye akaja kuwa my fiancy alikuwa ni best friend of mine na mpaka leo ndiye my baby.....!
 
Kila mtu ana approach yake kwa mwanamke, but i don't think kama ni njia nzuri ya kumpata demu hasa wa kutaka kuanzisha naye familia kwa kuonesha kuwa wewe ni matawi.

aya enzyme..umetsha!
 
Chali yangu soma acha hayo mambo yana mda wake ukifika utapata ur still young so subiri ukishakuwa na maisha yako ndio uweke effort kwenye hi kitu bana. Mfano unategemea kupata pocket money kutoka kwa maza au dingi au mlezi halafu hapohapo umpe GF wako kutoka kwenye hyohyo ,,du utapotea kaka !!! Hata kama una boom fanya mambo mengine siyo kukesha kutafuta GF. Watch out arifu HI KITU NI PASUA KICHWA:confused:
 
Halafu madogo hawajui hata kudanya??

Kwani hawasikii sisi tunavyodanganywa kwa kuitwa eti baby wakati tunatembelea mikongojo??

May be ndiyo matokeo ya kufuta practicals kwenye shule za kata...

cc Smile, King'asti, Kongosho, Fixed Point, Babu Asprin, Kaizer...

Babu DC!!
Mzee mwenzangu, labda uwaambie hawa vijana kuwa mie babu yao..... mwanangu wa kwanza nimemzidi miaka 19. Labda wanaweza kukuelewa.....

Au kwa sababu wamesoma shule za kata, nisaidie kuwaambia, binti yangu wa kwanza nimempata nikiwa A Level....:tape::tape::tape:
 
Halafu madogo hawajui hata kudanya??

Kwani hawasikii sisi tunavyodanganywa kwa kuitwa eti baby wakati tunatembelea mikongojo??

May be ndiyo matokeo ya kufuta practicals kwenye shule za kata...

cc Smile, King'asti, Kongosho, Fixed Point, Babu Asprin, Kaizer...

Babu DC!!
Hahahaha ukiitwa baby na umri huu, ujue kuwa kuna ankara inakuhusu.

Mie nimeamua kuwa mzee wa Kanisa....
 
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
una mkosi mkubwa sana bwana mdogo,njoo huku nikuuzie maji ya kisimani bagamoyo utoe nuksi utapata hadi mke,JUST TRUST ME.
 
Back
Top Bottom