mwanajimbah
Member
- Jun 27, 2012
- 95
- 21
Nenda kamwone dean of students atakusaidia ila hakikisha umelipa tuition fee.
hahahahahaha! World is rotten.
Nenda kamwone dean of students atakusaidia ila hakikisha umelipa tuition fee.
ure handsome but not lovely, not attractive , not sweety.... in general may be ure not hot at all that why wanakukataa
]I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki i zilizopbinti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
my ribs..umenifurahisha sana kwa ukweli uliousema...
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
unapoandika hii thread..........hapo kwenye wallet una sh ngapi.......?.....tuanzie hapo.........
yani hakyamam babu niko vere serious na hili
KUNA MAHALI WAZAZI SIJUI KAMA NI WAKIKE AU WA KIUME TUMEACHA KULEA HAWA WATOTO KWA MUJIBU WA GENDER ROLES ZAO!
mimi ni vile tu sina mtoto wa kiume lakini ningehakikisha anakuwa kigumu gumu tuuuu
ndivyo nilivyoona babangu akiwahandle kaka zangu!
wakati mimi na dada zangu tukipewa adhabu za kufinywa mapajani kaka zangu walikuwa wanapewa adhabu za kubeba matofali nyuma ya nyumba na kuhakikisha kisiki cha uani kimetoka la sivyo hakuliki!
ilibaki hivyo na sijawahi kuona wake zao au magirlfriends zao wakileta wehu wehu wa kijinga jinga
KWANINI HAIPO HII!
ndio utandawazi?
ndio tunawapenda watoto?
ndio haki sawa?
ndio umagharibi?
:noidea:
argh tafadhali kwa mamlaka uliyonayo naomba anzisha sredi juu ya hili!
unavyoanza kutongoza ndio tatizo .......... hata me sitakuwa tayari unitongoze kwa gia ya i want to marry u..... nitakupa jibu litakuchefua maisha yako yote..........
Embu naomba ufafanue kidogo?
mkuu Dark City nadhani tuna changamoto sana na hawa vijana wetu wa siku hizi
Mfumo wa maisha umebadilika sana mambo ya kidigitali zaidi,,technological development imechange mambo mengi nikirefer muono wa wmalimu wangu snowhite hapo juu
Ila kwa mtoto kama huyu aliyeleta uzi hapa something is wrong na malezi yake kama mwanaume,,,hao wapo hawakosekani, anapaswa kusaidiwa kiushauri ajitambue yeye ni nani, maana kufika chuo kikuu siku hizi sio kazi kubwa kama enzi za kina Sitta
Jamani mimi nakupendaga sana
Nataka nikuwowe.....lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
thank u,i would do but please,i am not ready to die am luking.