- Thread starter
- #181
Mmmm hebu weka picha yako kwanza.
ni pm,then nitaku2mia
Mmmm hebu weka picha yako kwanza.
Nenda kamwone dean of students atakusaidia ila hakikisha umelipa tuition fee.
Ha,ha. Umenikumbusha kuna jamaa yangu alikuwa muchs alisimulia kuwa kuna jamaa alikuwa anakataliwa na mademu. Baadaye akaenda kwa prof mmoja(administrator) amuunganishie kwa demu kwani atamuoa. Yule dada alipoona ujumbe umepitia kwa mzito akakubali. Jamaa akagegeda aafu akampiga chini. Demu alimlalamikia sana huyo prof!
ona sasa mtoto wa kiume anajivunia ubikra!
ehehehhehehe walahi kuna shida mahali!
ayni si kwamba nataka ufanye hapana najiuliza the whole idea na guts za kijana wa kiume kuwa proud kuwa ni bikra!
zamani hii ilikuwa ni sifa ya kike!
ilikuwa ni binti ndiye anajisikia furaha kufika age hiyo akiwa bikra!
kijana wa kiume hata akiwa kweli alikuwa hasemiiiii!
dah!
i miss makitu ya jando na unyago!
sijui kwanini tuliacha hii kitu!
ifike kipindi uhisi kile anachoandikia huyu mtoto kina mantiki sio kila kitu we ku criticize tu.....kama vile we ndio mmbora kuliko wengine , we ndio mwelevu kuliko wengine, we ndio umekalika kuliko wengine
Hapo iko shida tena kubwa mtoto w kiume unasema uko bikra, kila kona y jiji n chuo wapo wakumwaga bt hajatoa bikra kinadada wamempa ushauri mzuri ila mie naona anatakiwa aboostiwe n jumper cable cz betri yke inashida
lakini kama wakinifata watakuwa wananipendea ela na kazi wala cie mim jnz nilvyo,sasa hapo kutakuwa na mapenzi kweli?
Halafu kitu kingine, usikimbilie wanawake wazuri, tafuta mwanamke wa kawaida saaaana, wanakuaga easy, especially hao wa huko chuo n im sure hatokua na tatizo na hizo swagga zako
Ukishapiga, ukajifunza mambo, ndo unaanza kuupgrade sasa.
You si sawa
xo what du u think,i can do?
kijana wa kiume
uliye chuo
uliye zaliwa miaka 20 iliyopita
ukiwa na aina hii ya maongezi
aina hii ya kulalamika lalamika
aina hiii ya kuhisi dunia haikutendei haki
aina hii ya kuona kuwa ukikutana tu na msichana wiki mbili zilizopita basi unasema nataka kukuoa
aina hii ya kuona dunia zaid ya kukupa hewa na mahali pa kuishi haina uwezo wa kukuamulia maisha yako yalivyo
hebu hangaika kuvunja ubikira wa akili yako kwanza halafu ndo ukavunje ubikira wa mwili wako sawa enh!
ndiyo maana mwanaume haitwi mrembo bali mtanashati, utanashati ni product ya material....piga shule ukishakuwa na stability na trannsaction nzuri hata kama una sura mbaya kama yangu, utajiweka utanashati kisha warembo watakukimbilia. Acha kujishusha kwa sababu tu makahaba hawakutaki....tena ushujuru makahaba wanakukimbia....
ndo vijana wetu wa Mulugo hao
Will u marry me?
mwanaka>y kila cku mulugo tu.
huu ndio ushauri wa kufuata dogo wa 93...Nenda kamwone dean of students atakusaidia ila hakikisha umelipa tuition fee.
nipo chuo kikuu