- Thread starter
- #161
ni nanihii............ Tu zinakusumbua, una 20 unataka majukumu? Haya huyo utakemuoa atakuwa n miaka mingapi? Kamuulize baba ako halafu uone majibu yke!
we dng ataniua
ni nanihii............ Tu zinakusumbua, una 20 unataka majukumu? Haya huyo utakemuoa atakuwa n miaka mingapi? Kamuulize baba ako halafu uone majibu yke!
Mabikra wanaongezeka siku hizi!!!!
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
sio silipi,i am very handsome kaka
Eti unamwambia "I want to marry you", seriously???? SMH.
Huna swagga mdogo wangu, jipange upya.
unajisifia broo heheheeee usingoje kusifiwa
Eti unamwambia "I want to marry you", seriously???? SMH.
Huna swagga mdogo wangu, jipange upya.
chezea mie weye...
hahahaaa wenzake hawaanzi hivo may be mvuto F hahahaaaa kupendwa ni shughuli jaman
hapana chezea wew fanya juhudi bana kuwa na mpenzi ni muhimu mdogo wangu tena muhimu sana japokuwa sio lazima kwaio kama wanaleta za kuleta piga chini wew piga shule
NB: jipange bana ktk kutafuta mwenza sio unaleta swaga za kitoto wew ni msomi
kijana wa kiume
uliye chuo
uliye zaliwa miaka 20 iliyopita
ukiwa na aina hii ya maongezi
aina hii ya kulalamika lalamika
aina hiii ya kuhisi dunia haikutendei haki
aina hii ya kuona kuwa ukikutana tu na msichana wiki mbili zilizopita basi unasema nataka kukuoa
aina hii ya kuona dunia zaid ya kukupa hewa na mahali pa kuishi haina uwezo wa kukuamulia maisha yako yalivyo
hebu hangaika kuvunja ubikira wa akili yako kwanza halafu ndo ukavunje ubikira wa mwili wako sawa enh!
huhuhuhuuuu u make me happy wangu huo ni ukweli mchungu afu mwanaume halalamiki bana yan bado kijana mdogo unalalamiiiika sijui nini na nin huo sip mpango ebana LUGANO eee fuata ushauri wa dada hapo juu
unapoandika hii thread..........hapo kwenye wallet una sh ngapi.......?.....tuanzie hapo.........
poah,kaka nishaanza kujpanga.
Kama snowhite alivyokushauri hapo no 10 dogo kwenda chuo ni kwa ajili ya kivunja hiyo bikra ya akili. Miaka hiyo uliozaliwa tulikuwa shuleni zamani na wakubwa ambao fikra za mademu zilikuwepo lakini katika nafasi finyu mno ndio maana tuko na mama zako wadogo sasa nakushauri piga shule maliza hicho chuo sijui chuo gani maana siku hizi hata kindergatten kinaitwa chuo. Enzi zetu ukisikia niko chuo ujue chuo kikuu tena UDSM.piga shule vunja bikra ya akili pata ajira anza hayo makeke unayoyafikiria..
Halafu kitu kingine, usikimbilie wanawake wazuri, tafuta mwanamke wa kawaida saaaana, wanakuaga easy, especially hao wa huko chuo n im sure hatokua na tatizo na hizo swagga zako
Ukishapiga, ukajifunza mambo, ndo unaanza kuupgrade sasa.
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
Weka picha tuone: