Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Sina maana ya kukuelekeza maana huenda unajua kunizidi au najua kukuzidi.Kuna tafsiri ya ukali hapo!
Okei, niko mpole! Nielekeze mkuu.
Unapocomment kuna binadamu kama sisi tunapitia syllabe after syllable. Kama kuna kakosa tunastuana kikubwa tu maisha yanaendelea.