
Not AT all my dear,za masikuAm I dreaming?
Na huo uzee bado unatafuta Mume tu..Utampa nini kwa mfanoNiache bwana yaani wewe unavyonifuatafuata unataka nisipate mume mpya eti?
OK nilijua ya kwako ni nanii na kumbe unazungumzia nyotaYa kwangu ni Virgo mimi ni september baby halafu siko hivyo
Narushia wanaoniibukia pyem tu, napenda kuimbishwa na wadada, teh!Mimi je?
Buhahahahh acha utundu dogoOK nilijua ya kwako ni nanii na kumbe unazungumzia nyota
Wee Yaache Mambo yalinizidia nikasahau hadi nywila mods nikiomba kureset password wananambia muangalie link Kwenye email nikiangalia hola,nikapotezea siku nikajaribu ikakubali ndo merudi tena humu kufungua ID nyingine niliona jauNzuri mama ulikuwa haupo kweli au litelekeza Id?![]()
![]()
I make a lot of sense if you just give youself time to think outside the box! I ended up saying, NO WONDER YOU ARE CUNNING!! Ididn't right this for granted, again, think outside the box MUMMY!
P.s: Are you the victim of those "THIS IS WHY YOU ARE STILL SINGLE" ??
Karibu tena mamyWee Yaache Mambo yalinizidia nikasahau hadi nywila mods nikiomba kureset password wananambia muangalie link Kwenye email nikiangalia hola,nikapotezea siku nikajaribu ikakubali ndo merudi tena humu kufungua ID nyingine niliona jau
Kwani mimi ndio mekuongelesha jamani!!!Mbona umeniongelesha kingreza mie utadhani ulinisomesha
Kuwa mpole ili twende sawa.Je inaleta maana iliyokusudiwa?? Umeelewa??
Kwa jinsi nilivyoandika je unashawishika kuamini nimekusudia au nimekosea kama tyiping error??
Kuna tafsiri ya ukali hapo!Kuwa mpole ili twende sawa.